Wanaume wengi wanaotafuta wachumba humu ni balaa...!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaume wengi wanaotafuta wachumba humu ni balaa...!!

Discussion in 'Love Connect' started by Wendie, Oct 22, 2012.

 1. W

  Wendie Member

  #1
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 22, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hello JF members..!

  Nimetumia ID tofauti makusudi ili kutoa tahadhari kwa wadada wenzangu wanao respond kwenye posts za baadhi ya wanaume wanaotafuta wenzi humu Love connect!

  Nimerespond kwa post kama 4 tofauti tofauti za wanaume wanaotangaza wanatafuta wachumba humu, yaani ni waongo na lengo lao kubwa wanataka tuu sex..! Hawako serious kabisa na kwa hii tabia wanaharibu maana ya hili jukwaa kwani kuna baadhi yetu tuko serious..!


  • Kitu kinachoshtua ni kwamba ukirespond tuu kwa PM hapo hapo anaanza kukuita My love, honey, darling wakati hata hajakuona na hajui kama akisha kuona mtamatch..!


  • Ikitokea umeonana nae, anakuwa hana la kuzungumza la maana zaidi ya lini sasa tutafanya sex??

  Ndio uchumba unaanza hivyo kweli?? Wanaume wenye tabia hii jirekebisheni..!
   
 2. Miwatamu

  Miwatamu JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 1,453
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 133
  Mie nipo serious niambie nifanyeje sasa ili nikuone! sitaki kukuita darl, my sweet au sijui nini! cha msingi nipe mawasiliano yako ya kweli.
   
 3. Heart

  Heart JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 2,659
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Khaaa..! Uhusiano serious kupitia JF shosti..!?? # Sidhaaaani...
   
 4. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #4
  Oct 22, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Duh! Kweli JF haiboi. I love it.
   
 5. W

  Wendie Member

  #5
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 22, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Unajua kuna watu wanatoa matangazo yanaonyesha wanahitaji wenza ... Sasa huko kwenye PM ndiko balaa linakoanzia, na asipoleta balaa huko mkionana tuu ni sex ndio inatawala. Nimekoma mwaya!
   
 6. W

  Wendie Member

  #6
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 22, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haiboi ila hao baadhi ya wanaume wanaotaka kuharibu maana ndio wanaboa sana
   
 7. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #7
  Oct 22, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  hahahha...umemegwa nini? funguka. ila hapa naona watu wanataka kumegana tuu toa utamu huo wacha kubania lol
   
 8. Miwatamu

  Miwatamu JF-Expert Member

  #8
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 1,453
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 133
  Nilijua tu haiwezi kukupita pembeni. Mimi nimemwambia nipo serious.
   
 9. Miwatamu

  Miwatamu JF-Expert Member

  #9
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 2, 2012
  Messages: 1,453
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 133
  WENDIE hakuna njia nyepesi ya kuseleleka tu, lazima vilima na mabonde viwepo,
   
 10. W

  Wendie Member

  #10
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 22, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kumegwa sijamegwa..! Ila nimeshtushwa na tabia zinazofanana kwa wanaume wote wanne za kuonyesha seriousness kwenye post zao lakini hawamaanishi hivyoo..! Bora tu waandike NATAFUTA DADA WA KU SEX NAE ijulikane moja!
   
 11. p

  pilau JF-Expert Member

  #11
  Oct 22, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 1,523
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  .....................Pole sana ... kuwa makini katika dunia hiii ......Jihadhari na matapeli wa mapenzi......... pengine wewe umeshtuka na kujitambua lakini wako wanopenda hali hiyo wanakubali kirahisi........... hao ndio wanaowaangusha wenzao...... pia u Serious unaouzungumzia sio kwa maswala ya uchumba tu... bali hata katika maswala ya biashara wengi wanakuja katika mjadala ili mradi waweke post lakini hawako serious
   
 12. Lateni

  Lateni JF-Expert Member

  #12
  Oct 22, 2012
  Joined: Jun 11, 2012
  Messages: 685
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Duuh hii ni hatari, yani ndio nilikua namalizia kuandika uzi wangu wa kutafuta mume hapa jukwaani, inabidi nisitishe , nijipange kivingine.
   
 13. p

  pilau JF-Expert Member

  #13
  Oct 22, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 1,523
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  .....................Pole sana ... kuwa makini katika dunia hiii ......Jihadhari na matapeli wa mapenzi......... pengine wewe umeshtuka na kujitambua lakini wako wanopenda hali hiyo wanakubali kirahisi........... hao ndio wanaowaangusha wenzao...... pia u Serious unaouzungumzia sio kwa maswala ya uchumba tu... bali hata katika maswala ya biashara wengi wanakuja katika mjadala ili mradi waweke post lakini hawako serious
   
 14. W

  Wendie Member

  #14
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 22, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kweli jipange kivingine bi dada..!
   
 15. W

  Wendie Member

  #15
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 22, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nashukuru sana kwa ushauri mzuri.!
   
 16. Johas

  Johas Senior Member

  #16
  Oct 22, 2012
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 141
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  ...Kaka sikuzote nafatilia contributions zako., nakukubakia sana, unatisha Mkuu..!!! Saluuuuuute"""
   
 17. stineriga

  stineriga JF-Expert Member

  #17
  Oct 22, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 2,033
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  si wote , labda wewe ukikutana ndio huwa unawakalia kimtego mtego,

  a man will treat you the same way you will define yourself.
   
 18. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #18
  Oct 22, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  never trust a man, hasa mitandaoni ni kumegana tu, hakuna la ziada.

  Japo, moyo una usaliti intuitions zina uhakika.
   
 19. W

  Wendie Member

  #19
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 22, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sijasema wanaume wote, nimesema baadhi ya wanaume ndugu yangu, naomba nieleweke tena.....

  Sasa huko kwenye PM nitawakaliaje kimtego mtego jamani hao wanaume??
   
 20. W

  Wendie Member

  #20
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 22, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante my dada Kongosho kwa ushauri.. Nimekoma kabisa na hizi biashara za namna hii mitandaoni!
   
Loading...