amanda cute
JF-Expert Member
- Oct 27, 2016
- 244
- 456
Kwanini siku hizi wanaume wamechukulia pesa ndiyo kila kitu kwenye mahusiano? Kuna kitu wanaume wanasahau pesa siyo kila kitu hata uwe na pesa vipi ukashindwa kumkuna mpenzio hujafanya kitu na kwa hizo pesa zako mwanamke atatoka nje na kumhonga mwanaume mwenzio ili amridhishe kitandani amkune kisawasawa.
Mwanaume mashine bhana. Sifa ya mwanaume mashine.
Mwanaume mashine bhana. Sifa ya mwanaume mashine.