Sitaki kutia chumvi yoyote,
Maoni yenu ni yapi Huyu mwanadada msomi, kwa mujibu wake yeye ana elimu kubwa kuliko jamaa, ila jamaa ni form four failure mwenye pesa kuliko yeye na exposure kubwa ya...
Aisee unaweza ishi mahali au fika ugenini ukakutana na watoto wenye tabia za ajabu mpaka ukashangaa sanaa unaweza baki na maswali mia kidogo tuanzie hapaa kuna siku nilikuwa naumwa bhna sasa...
Ni mume wangu, mwaka wa 7 ndoani with one kid, nimefuma anachat na mwanamke kimahaba, nikajishusha tuyaongee mwenzangu ananijia juu.
Sasa nimeamua ndoa basi, nataka talaka yangu na yeye kunipa...
Hakuna Msg inamtoa mwanaume Jasho LA kutosha Kama Hiiii bora Uombwe hela.. Hapo ndo huwa unaapa viapo vyote kuwa hutaenda kavu tenaa na kujiona mjingaa...
Mimi nasemaje tuwaroge tu ukienda kuchepuka mkuyunge usisimame.
Wanaume mpewe nn msichepuke nje ya ndoa?
Naombeni majibu.
Ila kuna dawa moja ya kufanya mwanaume asichepuke
Unachukua kitambaa...
Ila shida nimemzoea nikimuacha nitampata wapi mwingine? Na ukiangalia mie mwenyewe ni domo zege huku mwanamke nimemoata kibahati nilikutana nae pale mbagala rangi tatu nyuma ya stendi ya magari ya...
Mambo zenyu usiku huu,
Jamani naomba ushauri hivi kunakosa kama mtu unataka kuwa rafiki naye ila sio mpenzi ??
Kuna tofauti ya mpenzi na rafiki
Ila niurafiki tu kunaubaya ukipenda kuwa na urafiki...
Hapa nilipo nimeudhika sana,hata dinner niliyopanga kupata naye imebidi tu nilipie 1 drink na msosi wake halafu nizuge nimepata dharura!
Yaani huyo binti nilimDM insta baada ya kuona picha...
Wazima ,bila kupoteza muda ngoja niende kwenye mada
Na nyie kina dada acheni kusimulia mambo mazuri mnayofanyiwa na wapenzi wenu ona sasa yaliyomkuta ndugu wa rafiki yangu.
Iko hivi, rafiki...
Mimi nafanya hivi
1. Nakula vizuri, chakula nachokipenda
2. Natoka kwenda kutembea
3. Nalala
4. Nalia sanaaaaaaa
5. Naenda kununua nguo mpya
6. Nafanya usafi
Na mengine mengi
Wewe je?
Lengo ni...
Za mda huu hapo ulipo..
Iko hivi, Nina rafiki Yangu mmoja ambaye ukweli ni rafiki yangu na tunasaidiana sana.
Rafiki yangu amepitia maisha magumu sana na kuonekana kama hana thamani kwa hawa...
Kabla sijaanza, tafadhali nawaomba sana moderators msiuhamishie huu uzi kwenye ule uzi wa member anaechepuka na mke wangu, nawaomba sana kwani nataka kuweka kumbukumbu sawa kwa watu wote humu...
Hii Dunia acha iitwe Dunia pamoja na usiku na mchana ila kuna rangi nyingi sana hapa duniani, mwaka 2020 nilipigwa matukio ya hatari sana, Gari ikabondwa na ajali, Pesa nikayumba kibiashara, demu...
Hivi karibuni kumekuwa na maneno mengi khs wanaume hawa kwamba wengi wao hatuna nguvu za kiume,mara hatuwezi kwenda round2 or 3 bila kupumza nk.
Nataka nikwmbie fanya research wanaume wa dar ndio...
Habari za wakati huu wakuu?
Nilisafiri siku kadhaa nyuma hapo nimerejea juzi home. Sasa katika kutiana na wife wakati naingiza rungu langu kwake nikaona ngoma imezama tu bila tabu, kwa uzoefu...
Tujikumbushe ilivyokua ama mbinu tulizotumia kufanikisha azma ya kutembea na mashemeji zetu(rafiki ama ndugu wa mke/mume).
Mie nilikua na rafiki yangu ambae tulipangiwa kazi wilaya flani huko...
Hivi ulishawahi kujiuliza kama huyo mtoto unayelea ni wa kwako halali?
Tafiti ndogo isiyo rasmi inaonyesha kuna uzinzi mwingi unafanyika kwa wanandoa nje ya ndoa zao. Tena imekuwa kama ni kawaida...
Salam wana JF,
Kama kuna mtu hajawai kutendwa katika mahusiano ya kimapenzi pamoja na ndoa, ajitokeze aeleze ni nini siri ya kutotendwa ili na sisi tunaotendwa tutumie njia hiyo, maana nshachoka...
Jamani kwa mwanaume au yeyote aliyepitia jambo hili anisaidie jinsi ya kuliepuka. Suala lenyewe lipo hivi mimi nimeoa na ni miaka kama miwili hivi toka nioe, maisha yangu ya ndoa ninayafurahia...