Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Thousands of people have been married in South Korea in the first mass wedding organised by the Unification Church since the death of its founder. Some 3,500 identically-dressed couples took part...
0 Reactions
0 Replies
843 Views
kwanini kuwa na mpenzi bila raha? kuna wasichana wengine wanacho penda ni wewe kuwapa raha tu hii ni sawa? anacho taka ni raha tu ukienda na zawadi kwake raha lakini ukienda mikono mitupu ananunu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hii aiwapi haki wanawake na ni unyanyasaji dhidi ya wanawake. Nachukulia mfano wangu mwenyewe. Mimi ninaishi na mke wangu japo sijafunga ndoa naye ila nimesha naishi naye miaka kadhaa. Mimi nina...
2 Reactions
22 Replies
5K Views
Nimepitia hii simulizi ya Mwanamitindo Anand Jon ambaye tayari kesha kufungwa na anatumikiia kifungo cha miaka 59 jela na amefutiwa mashitaka 48 baada ya kukiri ya kuwa alimrepu Model kupitia oral...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Wadau wote tunakumbuka jana ilikuwa siku ya wapendanao al maarufu Valentine Day!wengi wetu tunajua nizawadi gani tulipewa na tukajumuika na wapendwa wetu!Ila kwa wale waliokuwa na Mpenzi kwa maana...
2 Reactions
95 Replies
7K Views
Mnamo mwaka 1973 Dk. Paul MacLean, mtafiti toka taasisi ijulikanayo kama National Instute of Mental Health, alibaini kwamba, ubongo una sehemu tatu zinazoendana na nyakati tatu za mabadiliko ya...
8 Reactions
21 Replies
4K Views
Women and Money have a common understanding. They know each other and they have established a means of communication. They real miss each other and know how to chase each other. Men are victim...
0 Reactions
0 Replies
728 Views
Nipo Nyerere road hapa katikati ya Jiji la Mwanza.Hapa nilipo kuna wadada wawili wote wameolewa na wamevaa sketi fupi sana.Kitendo hiki kinanifanya nijiulize maswali yafuatayo.Kwanza nikiri kuwa...
2 Reactions
158 Replies
13K Views
Maisha tunayoishi yana Pressure na Stress tele siku hizi ni ngumu kukuta watu wana 'peace of mind' watu wengi ama wanakumbana na changamoto mbalimbali za maisha au wamezipitia na zimeacha alama...
14 Reactions
78 Replies
6K Views
natafuta demu wa kunipa presha!
0 Reactions
6 Replies
2K Views
JF
Kuna watu huwa wanatamani sana kulipia ili wawe JF premium member wahusika hebu tuelezeni tujue namna ya kulipia ushauri kama kuna thread inayoelezea swala hili mod awe anauweka kwa faida ya...
0 Reactions
0 Replies
880 Views
KAT DELUNA LYRICS Send "Love Me, Leave Me" Ringtone to your Cell "Love Me, Leave Me" The very first day of my life Was the day that you let me go (It was a blessing in disguise) Now I...
0 Reactions
0 Replies
906 Views
It is valentine, and this guy has not called to wish me a happy day and neither has he told me anything about taking me out after work. I feel so left out, No flowers and really annoyed and if...
1 Reactions
74 Replies
5K Views
Siku ya valentine wengi wanaikumbuka kwa mazuri na wengine kwa machungu..... Mimi nakumbuka wakati niko chuo nimetoka mkoani, alitokea dada mmoja kunipenda sana pale chuo......huyu dada alikua ni...
21 Reactions
82 Replies
9K Views
Wana Jf, Naomba radhi kwa wale walionitumia maombi yao.Bahati nzuri kabla sijakutana na yoyote nilikutana na college mate tumeanza mahusiano. ila muwe na subira kama tukishindwana nitarudi.
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Wadau wa jf, Naweza nisieleweke kirahisi lakini kwa upande wangu namshukuru Mungu sana hii siku (ambayo bado sijui maudhui yake ni nini zaidi ya kuleta matatizo)kuwa katikati ya wiki. kwa hakika...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wanaume walikuwa kwenye semina wakaulizwa., mara ya mwisho kumwambia mkeo kuwa unampenda ni lini? wengine wakasema leo asubuhi, wengine muda sio mrefu. Muwezeshaji akawaambia kila mmoja sasa hivi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimejitokeza kwa siku ya leo kutafuta watu wa karibu (madada au makaka wa hiari) hii inatikana na kua na msongo mzito wa mawazo cha umuhimu ni kusaidia kwa fikra na ushauri na kua ndugu wa ukweli...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Napiga kazi somewhere, katokea dada moja kanipenda sana, kaendelea kudhihirisha kwamba she z crazy over me, lakini nikamwambia mahusiano sehemu ya kazi ni hatari sana, nimeendelea kubuy time, but...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
nlikua na mwanamke ambae cna muda mref sana tangu nijuane nae...ni km mwezi sasa mwanzoni alkw hataki kbsa suala la sex but ktk maelezo yake alikw akidai ni bkra.....bt mwishoni akalegeza kamba...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…