kwanini

kwanini

Haki ni haki

Member
Joined
Dec 17, 2012
Posts
60
Reaction score
11
kwanini kuwa na mpenzi bila raha? kuna wasichana wengine wanacho penda ni wewe kuwapa raha tu hii ni sawa? anacho taka ni raha tu ukienda na zawadi kwake raha lakini ukienda mikono mitupu ananunu kweli msichana wa namna hiyo ana faa? naombeni mnisaidie maana naona watu wengi nikiwemo mimi tunashindwa kuelewa.
 
papuchi zinauzwa kaka....hamna mwanamke anauetaka umchafue na shahawwa zako bila wewe kumuachia tujisenti au zawadi
 
ngoja niwasubiri wajuvi wa haya mambo then nitarudi baadae
 
Kama ulimzoesha kwenda kwake na zawadi kwanini asinune pindi uendapo mikono mitupu?
 
Mwe! Usipoenda na zawadi anakunja uso na ukienda na zawadi anatabasamu huyo yuko kistarehe zaidi uzuri umemjua mapema fanya atakavyo mpe hata pipi pia ni zawadi ukishindwa waachie wakina KUNGURUHAFUGIKI wanaojua kucare kumbuka usipo kubali kuliwa kidogo huli na kumbuka ukitaka raha ya penzi mpate yule umpendaye .
 
papuchi zinauzwa kaka....hamna mwanamke anauetaka umchafue na shahawwa zako bila wewe kumuachia tujisenti au zawadi

Kwani kila uendapo kwake ni kugegeda tu?
Kama ndivyo baasi utakuwa huhitaji kitu kwake zaidi ya kugegeda?
Hujampendea kitu baali kugegeda tu.
 
Kwani kila uendapo kwake ni kugegeda tu?
Kama ndivyo baasi utakuwa huhitaji kitu kwake zaidi ya kugegeda?
Hujampendea kitu baali kugegeda tu.

sasa kwani mie demu namtongozea nini? sii ili nimgegede. kama story nitapiga na washikaji
 
kwanini kuwa na mpenzi bila raha? kuna wasichana wengine wanacho penda ni wewe kuwapa raha tu hii ni sawa? anacho taka ni raha tu ukienda na zawadi kwake raha lakini ukienda mikono mitupu ananunu kweli msichana wa namna hiyo ana faa? naombeni mnisaidie maana naona watu wengi nikiwemo mimi tunashindwa kuelewa.
huwa nasikitishwa sana na wanaume kama wewe? kwa nini unapeleka zawadi? ili afurahie? kwa nin afurahie yeye tu? na si wewe? je ameshawahi kukuletea zawadi? ni lini na yeye atakufurahia? au ndo unajikomba ili akupende? issue ni hii fanya yako usijali atamind ama nin kama vipi timba mikono mitupu tu..kwan sh..ngap..ila possibility ya kukimbiwa inakua kubwa...if that is the risk u can take then do ya thang...mate..usipende impress watu jaribu kua natural kama hakufeeel hakufeel mwisho wa siku utapeleka zawadi na nin na nin na bado unagongewa tu..coming to the pint..huyo manzi hapo ni gold digger..so quit bein a B**ch nigga..en move..on..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom