Kwa hili nimesema hapana, je wewe ungefanyaje?

Von Mo

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2012
Posts
1,819
Reaction score
1,188
Napiga kazi somewhere, katokea dada moja kanipenda sana, kaendelea kudhihirisha kwamba she z crazy over me,
lakini nikamwambia mahusiano sehemu ya kazi ni hatari sana, nimeendelea kubuy time, but anataka tumeet na kusudi
lake kubwa anataka nimpe mtoto kwani anasema hana haja sana ya kuolewa, anachotaka ni apate baby naye aitwe mama.

Katika maisha yangu ya ujana huu, huyu ni msichana wa tatu kunitamkia seriously maneno kama haya, lakini nimekuwa
nikisita, hii ni kutokana na maadili hayaruhusu.

Sasa najiuliza nifanyeje? NIKASEMA HAPANA MOYONI MWANGU, NAKIONEA HURUMA KIUMBE KITAKACHOZALIWA

kwani kitakosa malezi ya baba.

zaidi ya hapo nilishaweka nadhiri mbele za Mungu nisizini mpaka ndoa

uwezo wa kumtunza na kumsomesha mtoto ninao,

bado sijaoa,

bado sijatimiza baadhi ya dream zangu za msingi,

sasa naomba mnishauri nawezaje kuchomoa hapa?
 
kama its out of ur plan usifanye ivo. Utajuta baadae kwann ulizaa. Tulia, Timiza ndoto zako, uje kuwa baba mwema kwa wanao wa mkeo. Usifanye kitu ambacho hakipo ktk akili yako kwa kujilazimisha au kulazimishwa, ni hatari kwa afya ya saikolojia yako na ur coming family.
 
Usiwaamini sana wanawake, huyo mtoto huyo anaweza kuja kuwa balaa kwenye maisha yako kama ukimtengeneza, achana na hizo habari, fanya kile unachoona ni sahihi kutoka moyoni mwako kama unavyodai ili uyafikie malengo yako,.
 
ahsante ameline, nitazingatia ushauri huu
 
kama its out of ur plan usifanye ivo. Utajuta baadae kwann ulizaa. Tulia, Timiza ndoto zako, uje kuwa baba mwema kwa wanao wa mkeo. Usifanye kitu ambacho hakipo ktk akili yako kwa kujilazimisha au kulazimishwa, ni hatari kwa afya ya saikolojia yako na ur coming family.

thank you so much, hope this z right decision
 
Napiga kazi somewhere, katokea dada moja kanipenda sana, kaendelea kudhihirisha kwamba she z crazy over me,
lakini nikamwambia mahusiano sehemu ya kazi ni hatari sana, nimeendelea kubuy time, but anataka tumeet na kusudi
lake kubwa anataka nimpe mtoto kwani anasema hana haja sana ya kuolewa, anachotaka ni apate baby naye aitwe mama.

Katika maisha yangu ya ujana huu, huyu ni msichana wa tatu kunitamkia seriously maneno kama haya, lakini nimekuwa
nikisita, hii ni kutokana na maadili hayaruhusu.

Sasa najiuliza nifanyeje? NIKASEMA HAPANA MOYONI MWANGU, NAKIONEA HURUMA KIUMBE KITAKACHOZALIWA

kwani kitakosa malezi ya baba.

zaidi ya hapo nilishaweka nadhiri mbele za Mungu nisizini mpaka ndoa

uwezo wa kumtunza na kumsomesha mtoto ninao,

bado sijaoa,

bado sijatimiza baadhi ya dream zangu za msingi,

sasa naomba mnishauri nawezaje kuchomoa hapa?

Simamia unachokiamni. Achan naye huyo dada. Atakuambukiza virusi ya ukimwi ujute kuzaliwa.
 
Napiga kazi somewhere, katokea dada moja kanipenda sana, kaendelea kudhihirisha kwamba she z crazy over me,
lakini nikamwambia mahusiano sehemu ya kazi ni hatari sana, nimeendelea kubuy time, but anataka tumeet na kusudi
lake kubwa anataka nimpe mtoto kwani anasema hana haja sana ya kuolewa, anachotaka ni apate baby naye aitwe mama.

Katika maisha yangu ya ujana huu, huyu ni msichana wa tatu kunitamkia seriously maneno kama haya, lakini nimekuwa
nikisita, hii ni kutokana na maadili hayaruhusu.

Sasa najiuliza nifanyeje? NIKASEMA HAPANA MOYONI MWANGU, NAKIONEA HURUMA KIUMBE KITAKACHOZALIWA

kwani kitakosa malezi ya baba.

zaidi ya hapo nilishaweka nadhiri mbele za Mungu nisizini mpaka ndoa

uwezo wa kumtunza na kumsomesha mtoto ninao,

bado sijaoa,

bado sijatimiza baadhi ya dream zangu za msingi,

sasa naomba mnishauri nawezaje kuchomoa hapa?

haya wenzangu na mie wanaopenda kuzaa na maHB...huyo hana lolote anataka mbegu nzuri tu, ukimpa mimba umejiloga...kuwa makini...
 
huyo ni shetani...umevumilia usizini mpaka ndoa then unakuja kufanya tendo kwa mara ya kwanza na mtu wa namna hiyo? unaelekea shimoni kaka...Mungu akufungue macho ya rohoni upate kutambua kilicho mbele yako.
 
Huu wakati wa shibe utakuja wakati wa njaa,,shibe utaikumbuka
 
Mhh Hii imekaa vibaya. shida mtoto, si kugegedwa!!!!!!! mhh huyu si mzuri anakitu kakuficha huyo.MCHOMOLEEEEEEE
:target::target::target::target:
 
Kuna uzi uliwahi kuletwa hapa kuh ndoto za jamaa zilipoangukia puani na kujikuta akiuguza kidonda
Timiza ndoto zako hao wako wengi na wanazaliwa kila siku
 
Kama anakupenda atasubiri malengo yako yatimie, mzae ndani ya ndoa
 
Back
Top Bottom