mahirtwahir
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 614
- 322
Nimejitokeza kwa siku ya leo kutafuta watu wa karibu (madada au makaka wa hiari) hii inatikana na kua na msongo mzito wa mawazo cha umuhimu ni kusaidia kwa fikra na ushauri na kua ndugu wa ukweli hasa ktk kuleta mafanikio kati yetu ikibidi kutembeleana na kujuana familia zetu.
Mm ni kijana wa miaka 28 ni mzazibari nilie na asili ya kipemba kwa yoyote ataevutiwa kujenga udugu nami ani PM kwa ajili yakufanya mawasiliano zaid.
Tanbihi: huhitajikia kukomit km huko tayar
Mm ni kijana wa miaka 28 ni mzazibari nilie na asili ya kipemba kwa yoyote ataevutiwa kujenga udugu nami ani PM kwa ajili yakufanya mawasiliano zaid.
Tanbihi: huhitajikia kukomit km huko tayar