Baada ya ndoa neno hili alitumiki tena.

Baada ya ndoa neno hili alitumiki tena.

Mani H

Senior Member
Joined
Mar 25, 2011
Posts
180
Reaction score
46
Wanaume walikuwa kwenye semina wakaulizwa., mara ya mwisho kumwambia mkeo kuwa unampenda ni lini? wengine wakasema leo asubuhi, wengine muda sio mrefu. Muwezeshaji akawaambia kila mmoja sasa hivi amuandikie mkewe sms amwambie nakupenda mke wangu halafu badilishaneni simu kila mmoja asome majibu ya mwenzake. majibu yalikuwa hivi:
1. unaota au?
2. umekumbwa na nini?
3.?
4. utanieleza hii sms ulikuwa unatuma kwa nani
5. leo sikusamehe najua kuna kitu.
6. huyo ulienae ndo kakwambia unitumie hii sms?
7. najua tu tayari kuna kitu.
8. wewe sema unachotaka.
9. leo hunipati ng'o!
10. nani mwenzangu?
 
Hii imekuja mara 12 zilizopita tena ikiwa na maudhui haya haya.
Copy na Paste inaendelea.
 
Wanaume walikuwa kwenye semina wakaulizwa., mara ya mwisho kumwambia mkeo kuwa unampenda ni lini? wengine wakasema leo asubuhi, wengine muda sio mrefu. Muwezeshaji akawaambia kila mmoja sasa hivi amuandikie mkewe sms amwambie nakupenda mke wangu halafu badilishaneni simu kila mmoja asome majibu ya mwenzake. majibu yalikuwa hivi:
1. unaota au?
2. umekumbwa na nini?
3.?
4. utanieleza hii sms ulikuwa unatuma kwa nani
5. leo sikusamehe najua kuna kitu.
6. huyo ulienae ndo kakwambia unitumie hii sms?
7. najua tu tayari kuna kitu.
8. wewe sema unachotaka.
9. leo hunipati ng'o!
10. nani mwenzangu?
ebana hii sasa wenzio walishatoa tangia other weeks huko so kama vipi this is rated..BOOOOOORIIING..ni mtazamo tu huu jombaaaa
 
Back
Top Bottom