Jamani watanzania tuwe makini sana na afya zetu ,Imagine kuna super Market maarufu sana huku Arusha Soko kuu, kila siku nilikuwa naisikia ukitaka kitu ambacho hakipatikani tena ni kwa bei chee nenda kwa yule muhindi nanihiii...
Wakati niko zangu shopping kuna mtu akaniconvice niende pale..kufika nikafanya zangu manunuzi ni kweli nilirealise less or nearly 1000Tshs per kila item ..loh nafika home kati ya vitu nilivyonunua siku ya kuopen my sausages nikanote test yake abit mbaya sikumind nikasema labda mdomo wangu..kivumbi ikaja visnacks za watoto ..pringles etc smell ndani tofauti mara mtoto anakaribia kumaliza nachungulia naona maugando gando meusi loh..
Nilichukia narudi kumwonyesha kesho yake kwamba bidhaa zanu vipi? Anasema ooh badili nyingine in simple language..nikaifungua hapo hapo hiyo nyingine nikanusa mbele yake nikamwambia na hii inanuka kasema hii sio sana chukua huku akiendelea kuhudumia wengine..
Mitanzania bado ikaendelea kuwewa huduma bila kushtuka kwamba hee hiki tunachonnunua ni salama?nikamwambia no prob sitachukua kitu kufidia nilikuja kukuoyesha tu nikaondoka...