Ni kweli tendo la ndoa hupunguza hasira

Ni kweli tendo la ndoa hupunguza hasira

princetx

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
587
Reaction score
265
Kwa wataalam wanaojua naomba kujuzwa hilo, nigundua siku nikifanya tendo hilo na my wife asubuhi, huchangamka na siku hiyo kisarani huwa hana kabisa
 
mada ni nzuri ila si mahala pake. ipeleke MMU
 
Kwa wataalam wanaojua naomba kujuzwa hilo, nigundua siku nikifanya tendo hilo na my wife asubuhi, huchangamka na siku hiyo kisarani huwa hana kabisa

tunaomba mods waihamishie hii kwenye MMU, ili tuanze kuidicuss wakuuu,tumsaidie kijana aliyepost hii thread
 
Kwa wataalam wanaojua naomba kujuzwa hilo, nigundua siku nikifanya tendo hilo na my wife asubuhi, huchangamka na siku hiyo kisarani huwa hana kabisa
Precise pangolin.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
kweli kabisa....hata ukiwa stressed ukinaniliu tu unakuwa mwepesiiiiiiiiii stress zote kwishnehiiiiii
 
Mimi hata kama nimetoka kwenye tendo la ndoa ukinikorofisha tu hasira ziko pale pale.
 
Huku hakuna stress wala ban. Karibu sana.

Na kwa namna ulivyonikera leo kwenye jukwaa lenu la Siasa, ungenisababishia ban.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Nimeshagundua nitakuwa nakuja kumtukania Nape Huku
 
Back
Top Bottom