Unampigia simu demu wako mida ya saa tisa, anatoka nyumbani mpaka sehemu ulipo. Anaagiza kinywaji na kumuita mhudumu wa jikoni, niletee kuku nusu na chips. Wewe umetoka nyumbani hujala huko...
Louisiana man claims ex-girlfriend 'stole sperm' Mr Hardin claims his ex-girlfriend "bluffed" her way to getting the sperm
A man is suing a clinic in the US alleging his ex-girlfriend stole his...
"ZAMANI, mtoto akioa, basi mama anajua amepumzika kazi ya kupika, lakini siku hizi mwanao akioa, anajitenga. Hataki tena kukaa na wazazi wake. Na kwa kweli maisha ya mama yake na hata ya wewe baba...
Napenda kuwa na rafiki ambaye kwa mipango yangu mwisho wa siku ndio awe mchumba wangu,vigezo awe mwanafunzi wa chuo au mwalamu nawapa kipaumbele walimu kutokana na nature ya kazi zao kwani huweza...
Najiulizaga sana hivi ni kwanini watu wakiwa wanangonoka wanazima taa? utakuta mko sehemu ambayo hakuna uwezekano wa mtu kuwaona lakini lazima mzime taa.
Habari Jf? Kupenda visivyo vyetu. Hii ni tabia ya watanzania wengi. Mifano: watu wengi wanashabikia mashindano ya mpira wa nje kuliko ya hapa Tz, mwanamke/mwanaume hata akiwa mbaya vipi...
Habari za kazi wana MMU!Nadhani mko na weekend powa ikizingatiwa ndo mwanzo wa mwezi!
Nina mpenzi wangu ambaye tumeanza nae mahusiano ni mwaka wa tatu sasa na mimi ndo mwanaume wake wa kwanza...
Ni mara kadhaa 2 nimekuwa nikiona hawa dada zetu, uvaaji wao wa kanga sio kabisa, cause wanazibana mno tena maksudi nasema hivyo kwa kuwa nishawaotea accidentally kama wawili hiv wanafungua kidogo...
Hamjambo wa MMU,
Mimi ni kibebi, jinsia yangu ni mwanamke, nina umri wa miaka 29 ninaishi abroad (Ulaya). Rangi ya ngozi yangu ni maji ya kunde, mrefu wastani, sijawahi kuolewa kabla, na elimu...
Utasikia eti,kabla ya kumuoa/kuolewa naye mchunguze kwanza.Au kabla ya kuamua kuishi naye,mchunguze kwanza. Vile vile,kabla ya kuchagua mchumba,chunguza kwanza.
Mwanamke/mwanaume huchunguzwaje...
habari wana JF, hope mko salama na mnaendelea na majukumu yenu vizuri. Kwa wagonjwa, poleni sana Mungu awaponye haraka na kwa wenye matatizo mbalimbali, Mungu awafanyie wepesi.
Back to the mada...
Imenitokea last friday nikiwa club wife akashtuliwa na wambea akaja mitaa ya saa 10 na kunikuta na demu. Alimpiga yule demu akakimbia. Home hakuna amani hapa napotezea sitting room kwani nikiingia...
Nimetumiwa ujumbe huu ambao nahisi una msg nzuri sana kwa wale wadau wa kutikisa kiberiti,
Enjoy your week end,
Babu DC!!
DAWA YA MOTO NI MOTO,
Mtu na mkewe wanagombana chumbani, ghafla...
Rafiki yangu hapa ofisini yeye ni bikra anaoa hivi karibuni mwanamke bikra kwa mujibu wa alicho nieleza. Kitu ambacho nimebaini ndoa hizi huwa nzuri sana kwa wachumba wa jinsia zote. Ndoa ya...
Natafuta mwanamke mwenye umli kati ya miaka 18 mpaka 26 mwenye sifa zifuatazo;
awe mkristo
awe na elimu kuanzia kidato cha nne
asiwe na mtoto na awe hajawahi kuolewa. Kwa alie tayari ani pm ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.