Mpenzi huchunguzwaje?

Mpenzi huchunguzwaje?

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,353
Reaction score
26,194
Utasikia eti,kabla ya kumuoa/kuolewa naye mchunguze kwanza.Au kabla ya kuamua kuishi naye,mchunguze kwanza. Vile vile,kabla ya kuchagua mchumba,chunguza kwanza.

  • Mwanamke/mwanaume huchunguzwaje?
  • Njia zipi hutumika?
  • Ili iweje?

Nisaidieni werevu wa JF...
 
Mtu anaye owa mwanamke hamjui ni sawa sawa na mtu anatembea usiku wa giza hajui anaenda wapi:biggrin:

I recall the Prophet Muhammad (saws) said: "The whole world is a provision, and the best object of benefit of the world is the pious woman." Imagine! Nothing in this world is as valuable as a pious woman:A S shade:

Mwanamke mwenye kufata dini yake anajulikana tu, na anaye gawa gawa pipi anajulikana tu ...Ujumbe ndo huo:A S shade:
 
gharama zake zikoje? Walimaliza hiyo kazi muda gani?
Inategemea kama unataka express ama ordinary investigation. Watafute wapo zenj wanakamilisha uchunguzi wa kuuwawa kwa padiri.
 
Mahusiano ya mapenzi yanaanzia kwenye urafiki. Mnapokuwa marafiki mnaishi kirafiki ambapo inapelekea kila mmoja kujiachia na kuyaishi maisha yake ya kawaida hivyo kukupa nafasi ya kumsoma ni wa aina gani ana tabia zipi na anapenda nini. Ndio maana zamani wazee wetu walikuwa wanapenda labda mtoto wao aolewe na kijana wa familia fulani ambayo wanaifahamu vzr japo c sahihi kumchagulia mtoto mume au mke. Kuchunguzana inasaidia kujenga ndoa imara na ya watu ambao wanazijua tofauti zao na kuzimudu.
 
Back
Top Bottom