chwechinyong
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 223
- 105
habari wana JF, hope mko salama na mnaendelea na majukumu yenu vizuri. Kwa wagonjwa, poleni sana Mungu awaponye haraka na kwa wenye matatizo mbalimbali, Mungu awafanyie wepesi.
Back to the mada:
Nina tatizo ambalo limekuwa likinisumbua juu ya mke wangu kutokuwa na hamu ya tendo (low libido). Tatizo ni la mda na nimekaa na kuzungumza nae mara nyingi na pia kila wakati nikihisi tatizo hilo likiwa limekuwa sana. Mke wangu anasikitishwa sana na hii hali na mara nyingi hujihisi vibaya sana nikimueleza hali hiyo na karibu mara zote hulia. Nimemsaidia kumpa baadhi ya mambo ambayo nahisi yanaweza kuiondoa hiyo hali ikiwa ni pamoja na kumwambia apunguze mawazo, na pia kubadilisha uwanja wa mechi na kujitahidi kumuweka active na kumtumia msg za kumuweka tayari tayari kimapenzi but naona haijasaidi. Sasa nimeona ni vyema niwashirikishe wana jamii forums wenzangu ili mnipatie mawazo yatakayojenga katika hili. I need a serious advice, so serious people are welcome. kama una joke au utani au lolote ambalo halihusiana na hii mada, naomba kwa post hii livumilie, tukutane kwenye post zingine. kwa sasa nahitaji ushauri wa kujenga tu. Nampenda mke wangu na napenda hili tatizo alilo nalo liishe. ahsanteni na karibuni sana kwa michango yenu