Huu nimsemo ulio zoeleka miungoni mwetu. Msemo huu nilipata usikia miaka mingi sana ila leo umejiruduia masikioni mwangu. Ktk harakati zangu za kuutafuta mkate ( rizki ) niliangukia ktk kundi la...
Muda mrefu sasa natafuta MKE hapa lakini bila mafanikio,naomba mnisaidie ndg zangu kama kuna mahali pengine naweza kupata mke naomba mnielekeze huko labda nitabaatika kupata mke huko.
Habari ndugu!! Hii trend n kwa mwanamke ambaye yuko serious na anahitaji ndoa !! Umri 18-22. Umri wangu 25. Awe ana maadili mema. Na yamkin umekaa ukimuomba Mungu kwa muda mrefu akupe mume...
Habari zenu wana MMU!
Napenda kusema kwamba wanaume tumefanikiwa sana kuharibu dhana ya mapenz katika dunia ya leo kwa sabab,
Wanaume tumekuwa ni wapesi sana kuongozwa na hisia zenye...
Wapendwa NIKO HAPA BREAK POINT MAKUMBUSho BAADA YA UCHOVU WA KAISARI NIKABAHATILKA KUKAA NA MEZA MOJA PEMBENI INA MADADA WAWILI KAKA WAWILI MMOJA WA MAKAKA AKANZA KUSOMESHA NAKUPENDA NAKULVE NA...
Hamjambo?week end inamalizikaje? kwangu iko poa tu nashukuru hadi hapa.
Rejea kichwa cha habari hii, kila mtu anapowaza kuwa na mke/mume, mpenzi au hata mchumba huwa kuna picha flani huwa...
Punyeto!punyeto!hili swala lmekuwa ni so ad
dicted kwa vjana wengi ulimwenguni kote hasa wale wnye umri kuanzia miaka 13-22 na japo wengne huendeleza mchezo huo mpaka at the age of 30,naomba...
....mie naanza kuhisi moja ya hawa wakaka na wadada kutotaka kuoa/kuolewa
kwa muda mrefu ni kushuhudia ndugu zao kuachwa solemba...
chunguza sehemu kama kuna singo maza
basi kuna kaka mtu au...
Hici kweli kuna mwanamke mzuri aliye umbika amekaa kama mimi anatafuta aliye single kwa upande wangu siamini labda mniambie nyie kwa sababu naona wote ni players
Utafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha State cha jijini New York nchini Marekani unaeleza kuwa manii ni nzuri kwa wanawake kwani huwaondolea msongo wa mawazo.
Pia, watafiti hao walisema wanawake...
Habari zenu waungwana!
Huu ni mkasa wa kweli. Ilikuwa hivi:
Jamaa mmoja ambaye ana tabia fulani fulani za ukware,alikuwa nafanya kazi shirika fulani la umma. Jamaa huyu ameoa na mkewe...
Katika utafiti nilio ufanya nimebaini % kubwa ya wanawake wanawatesa waume zao au wapenzi wao. Na %kubwa ya hao ndio chanzo cha kuvunjika kwa mahusiano mazuri walio nayo. Mfano: urafiki, uchumba...
Mie ni mdada wa umri wa miongo 3 hapa duniani! Nina mtoto mmoja na niko single. Nimejikita zaidi katika shughuli za utaftaji wa mapene, na niko vizuri kiuchumi! (lakini siintatein kulea...
One day I will leave the
world and never come
back. You will cry when U
see my mobile numbers,
texts in your phone. You
will miss me when U sit
aloneand recall the
moments we shared,
You...
MWANAFUNZI MWAKA WA KWANZA SAUT-MAIN CAMPUS AJINYONGA BAADA YA KWENDA KUPIMA NA KUKUTA NI +VE BAADA YA KUJISIFIA KUWA AMEDO NA DEMU MZURI KWA WENZAKE NA KUAMBIWA AMEJIKATIA TIKETI YA KIFO KWA...