Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,161
Hamjambo?week end inamalizikaje? kwangu iko poa tu nashukuru hadi hapa.
Rejea kichwa cha habari hii, kila mtu anapowaza kuwa na mke/mume, mpenzi au hata mchumba huwa kuna picha flani huwa inajengeka akilini mwake kuhusu sifa za huyo partner wake anaetamani kuwa nae lakini pia muonekano wake angalau. Kurudi kwenye ukweli, si mara zote ideal partner analandana na yule unaejikuta unakuwa naye japo mwanzoni kulijengeka picha flani. Kwangu mimi huwa ideal type ya mwanaume ni mwenye sifa zifuatazo;
1. mpole na mtu wa dini (kumcha Mungu kupo moyoni mwa mtu na Mungu wake lakini angalau aoneshe interest na dini)
2. mwenye sports body, asiwe mrefu sana na pia asiwe na kitambi
3 Smart na asiwe mweupe kama alivyo Mwana FA, msafi (sio mwanamme soksi zinanuka utadhani panya amefia ndani)
4 Mwenye tafakari tumbuizi(critical thinker) na mwenye kuchambua mambo vizuri kama Zitto Mnyika Tundu Lissu na wafanyavyo . Yawe ya kijamii au vyovyote vile.
5 Mwenye kunijali na kutaka na kujua kusoma feelings zangu hata kabla sijamweleza kile kinachonisibu (mfano akiniona niko down ajaribu kuprobe yeye mwenyewe na kunifanya nijieleze kwake, na mifano mingine like chakula, nguo na mahitaji mengine sio lazima nijieleze ndio ajue ninahitaji)
6 Practical problem solver...sio mmepata tatizo yeye busy ndo anampigia juma atoe ushauri au ampe solution badala ya yeye kuja na possible solution kwanza then ushauri badae
7 Asiwe mtu wa kujigamba ovyo mbele za watu na kwangu pia
8 Mwenye elimu n.k, n.k, n.k,
Sifa zangu kwa leo ndio hizi ila ninazo nyingi sana.
Sasa ugumu unakuja hivi; ni ngumu sana kukutana na mtu unaetamani awe na sifa flani flani, unajikuta unakuwa na mtu kwasababu tu kumpata uliemhitaji ni ngumu. Madhara ya hili ni kwamba siku ukija kutana na mtu angalau mwenye sifa ulizokuwa unazitamani udanganyifu waweza tokea na ndo mwanzo wa ufa kwenye ndoa/uhusiano wako.
Je wewe mwana MMU ideal type partner wako ni wa aina gani?
NOTE: Hii mada ipo kwa ajili ya mjadala tu na si vinginevyo, hili sio tangazo la kutafuta mpenzi(nina wangu a.k.a mmarangu wangu), ni katika kufurahisha genge kwamba tujadiliane tu kile tunachodhani tunatamani au tulikuwa tunatamani kwenye mahusiano na je ideal type ilifanana na hali halisi??
Kama una mawazo tofauti pia unakaribishwa......
MBN