Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 11,084
- 12,329
Huu nimsemo ulio zoeleka miungoni mwetu. Msemo huu nilipata usikia miaka mingi sana ila leo umejiruduia masikioni mwangu. Ktk harakati zangu za kuutafuta mkate ( rizki ) niliangukia ktk kundi la vijana wengi kiasi nikawakuta wakimaliza kuadithiana habari, na mwisho niliwasikia wakisema CHAMTU SUMU nikapatwa na shauku ya kutaka kujua nikipi walicho kuwa wakihadithiana. Ndipo nilipo onyeshwa nyumba moja mzuri na yabei mbaya nikaambiwa mwenye nyumba kaama mji sababu ya mke wa mtu. Inavyo semekana jamaa alikua akimega mke wa rafiki yake wa damu, ilikua ni kila rafikiyake akisafiri jamaa hujiongeza kwa shemeji yake, aliendeleza hako kamchezo mpaka mwenyewe akajua ( aliya pata kutoka kwa wambea ) siku moja mwenye mke aliamua kumkazia macho mkewe mpaka kufikia kumuonyesha bomba (bunduki ) mke akaona isiwe tabu akamueleza yote mumewe kuusu rafiki yake. Mume akaona sio kesi ni mashauri tu, "siwezi kuacha mke sababu ya kugongewa" akaamuwa kumsamehe ila kwa sharti moja wapange ni jinsi gani watamkamata yule jamaa (rafiki yake ) wakapanga, jamaa ajifanye amesafiri. Kweli kama kawa jamaa akajiongeza kwa mke wa rafiki yake bila kujua kama disco kaingia m-masai. Akafika kwa shemeji na mkwaju wa maana ( gari zuri ) na shemeji bila hiyana akazama ndani ya mkoko safari kuelekea kumtukuza shetani. Wakafika ktk hotel ya maana (jina kapuni ) baada ya maongezi na maandalizi shem akaomba aende msalani jamaa akabaki kitandani aki endelea kuunoa. Shem alivyoingia msalani akavuta uzi kwa mumewe akamueleza hotel waliyopo mpaka chumba walicho chukua. Mwenye mke kwakua alisha ongea na watoto wamjini hakupata kazi, akachukua usafiri tayari kwa safari. Jamaa bilaya kujua kinacho mnyemelea akawa anaendelea kuchezea" K" mpaka ikamlevya. Mara mlango ukagongwa kwakua mwanamke alisha jua kinacho endelea akainuka na kwenda kufungua mlango. Bila kutegemea akakutana na mdomo wa chamoto hapohapo jamaa akanywea na kua mdogo kama shilingi mia. Mwenye mke hakuwa na mchezo akamuamrisha mkewe avue shanga amvike jamaa, jamaa alikua akilia na kuomba ya ishe na kumuahidi atampa nusu ya utajiri wake mwenye mke aka kataa na kuendelea kuwaambia wauni wachukue moving camera kwa kila hatua itakayo endelea, huku akiwa kaonyeshwa bomba jamaa aka pakuliwa na mwenye mke kwanza kisha nawauni wakafuata huku mwanamke akishuudia tana yeye ndio alie kua akichukua mov . Walivyo maliza jamaa akamchukua mkewe na kurudi nyumbani. Jamaa alibaki mle hotel mpaka jioni. Alivyo rudi nyumbani story ikawa imesha zagaa kila upande kilamtu kesha patiwa ule mkanda. Akaona isiwe tabu ndipo alipo amua kuama mji na kulitelekeza jumba. Nilivyo hadithiwa haya ndipo nika ukumbuka huu msemo CHAMTU SUMU