ma senior bachelors..

ma senior bachelors..

imaney

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2012
Posts
1,014
Reaction score
317
....mie naanza kuhisi moja ya hawa wakaka na wadada kutotaka kuoa/kuolewa
kwa muda mrefu ni kushuhudia ndugu zao kuachwa solemba...
chunguza sehemu kama kuna singo maza
basi kuna kaka mtu au dada mtu ambaye naye hana uhusiano mzuri na jinsia ya pili,
...................haya nipeni majibu....:A S-heart-2::A S-heart-2:
 
kama vile yamejibika kwa uzi huohuo, sijui lakin ngoja wadau waje.........
 
sijui nimezeeka au uwezo wangu wa kuelewa umepungua?.... najiuliza tu hapa.
 
siungi mkono hoja but mguu nahisi unaunga tela kwenye hoja yako!!!!!!!!!!!!!!!
 
kama vile yamejibika kwa uzi huohuo, sijui lakin ngoja wadau waje.........

nimeulizaja kama ushawahai kumuona kaka mtu haoi mpaka amezeeka kisa kamuona dada yake anavyohangaika na watoto aliachiwa?:nono:
 
nimeulizaja kama ushawahai kumuona kaka mtu haoi mpaka amezeeka kisa kamuona dada yake anavyohangaika na watoto aliachiwa?:nono:

duuh hiyo sijawahi kuona,kuambiwa,na ndio kwanza nasikia kwako.
labda ngoja nicheki kwa kina kitaan kama wako ntarudi eeeh...
 
Back
Top Bottom