Daullah
Senior Member
- Feb 16, 2013
- 190
- 46
Punyeto!punyeto!hili swala lmekuwa ni so ad
dicted kwa vjana wengi ulimwenguni kote hasa wale wnye umri kuanzia miaka 13-22 na japo wengne huendeleza mchezo huo mpaka at the age of 30,naomba wnaume na vjna tusaidiane kujua nn dawa ya kukomesha tatizo hli kwani ndio lmekuwa hasa likisababisha kushuka kwa nguvu za kiume na kasi ya kuperform sex kutokana na wnaume wengi kuwa waathirika wa mchezo huu ambao ni hatari kwa wanaume hasa katka dunia hii tuliyonayo hivi sasa.Ikumbukwe kwamba mwanaume hujichua c tu kwa sababau hana mwanamke!lah hasha bali ni kwa sababu kisha kuwa addicted na hata akiwa na mwanamke kamwe hawezi kuridhka mpaka ahakikishe amejilipua walau hata kimoja ndo atjihisi akildhika,sasa basi naomba wanaume na vjana wenzangu tusaidiane ni jinsi gani tutnaweza kuwasaidia wale ambao wmeshndwa kabisa kuacha hii kitu na ninajua ni wengi mno na hata wale tutakao toa mawazo yetu naamini pia kuna victim kati yetu so be open na sema kile ambacho unahisi ni msaada tosha kwa mwanaume mwenzio/kijana.Mimi mchango wngu ni huu.
1.Vijana tupunguze kukaa iddle muda mrefu kwani mind inaweza kuwa driven na mawazo mabaya na mwishowe ukaishia kupga nyeto
2.Usianaglie picha za x bila sababu maalum
3.Tumia muda mwingi katika shughuli zako binafsi
4.Jichanganye na wenzio katka mazoezi pindi upatapo muda wa kufnya hvyo.
5.Soma vitabu vya dini coz vtakuelekeza kufanya zuri na kuacha baya.