Nahtaj mwenza wa maisha, kwa ajili ya ndoa na familia.
Wasifu wangu;
32 yrs
elimu chuo kikuu
mwajiliwa
Sifa za ninayemhitaji;
age 23~30
elimu kwanzia kidato cha nne
mzuri wa sura na...
Tulipishana na mke wangu siku moja tukagombezana mimi nikajua yameisha lkn baadae nikakuta ameyaandika yale mambo yote niliyokuwa nikiyatamka na kuyatunza ndani ya sanduku lake pia kaongeza hata...
Jamani nawish niwe mama bora na shupavu kama mama yangu,ametulea mimi na ndugu zangu kwa mapenzi ya dhati wakati baba akiwa bize huko na mambo yake ya kimaisha bila kujali familia lakini mama...
,nimejit0keza kwenye jukwaa hili kwa leng0 m0ja tu,,natafuta mwanamke wa ku0a,..wasifu wake awe mweupe/maji ya kunde,mmpenda maendele0 ..awe anamcha mungu kwa dini y0y0te ile.,asiwe mnene sana...
wapendwa habari,
Jamani kichwa cha habari chajieleza,
kwa wale waliokua wapenzi na wafatiliaji wa kipindi hiki chini ya mahost wa ukwee lara1 na zinduna naombeni mnijuze wot hapened kwa hiki...
Habari wana JF,
Ningependa kuwa na rafiki wa karibu (sio wa kimapenzi) ambae naweza kumwamini kwa kila jambo langu, kama unakidhi vitu vifuatavyo naomba uniPM
1. Sichagui jinsia jina dini kabila...
Jamani duniani kunawatu wana rohu nzuri kuliko hata Fedha. Moyo na ujasiri alio nionyesha huyu dada sikutegemea kama kuna watu wa stile hii hapa duniani. Nimsichana mrembo aliye umbika istoshe...
Watafiti hivi sasa wanasema huenda wanaume wanaotegemea wanawake wanywe pombe kwanza ili iwe rahisi kwao kuwakubali kimapenzi, hawana haja ya kufanya hivyo. Hawana haja ya kufanya hivyo kwa...
baada ya kupewa taarifa na watu kuwa bw Omari(jina halisi) anamtafunia mke wake, jamaa akaanza mitego kuwanasa. na taarifa akaipeleka kwa mjumbe.
juzi anaingia nyumbani...
Ndugu WanaJF,
Heshima kwenu mabibi na mabwana .
Kwa heshima na taadhima nimshukuru MUNGU kwa kutukutanisha kupitiamtandao huu.
JF Arusha tulikuwa na kikao siku ya Ijumaa tarehe 05.04.2013
Chini ya...
ndugu wana MMU;
kwanza niwashukuru kwa maoni mitazamo na ushaur wenu juu ya uzi nilio utoa siku chache zilizopita.
Baada ya kupitia maoni mengi nikaamua kutumia kaujanja kidogo ili niupate...
Poleni wana JF na majukumu ya kila siku.
Nimerudi tena kwa muendelezo wa ile kesi,nisiwachoshe sana lakin hali iliyofikia ni kutishiwa aman kabisa kwa ujumbe mfupi wa maaandishi kupitia simu...
Sio kwamba nabagua ila ndio nimeona sahihi zaid. Ni kwamba mimi n me aged 23 na 2015 ntakuwa nshagraduate hivyo natafuta mrembo wa kuishi naye( mchumba) awe mwanachuo wa ualimu ngaz yeyote aged...
Habarini woteee!
Natambua hili swali linahusika sana JF doctor venue. Lakini naomba niulize hapa MMU kwakua nahitaji kumtoa mtu kwenye mawazo mabaya haraka mno na katika hali ya kawaida jf doctor...
leo ni siku ya tano baada ya ovulation yangu,nilifanya unprotected sex lakini kama siku 1 au mbili zilizo pita matiti yangu yanauma uma kama vile nataka kubleed,ila tarehe zangu za mp ni kuanzia...
Wanawake wenzangu, hii ndiyo dawa ya wanaume wanaojifanya "chovya chovya". Akiwagonganisha, badala ya kupigana na kutoana manundu, mnywesheni hii dawa na hatarudia tena. Angalia video ifuatayo:-
Check out these tips to keep your lips looking good and healthy;
1. Drink, Drink, Drink
Consuming at least 9 cups of fluids daily will keep your body, skin, and lips hydrated.
2. Go Easy...
Jaman jaman wana JF mwenzenu nimenasa naomba msaada sijui nina nini mimi,ndo hivo umri unanitupa mkono nakaribia miaka 35 sasa sijampata hata aliyewahi kunitangazia ndoa,cha ajabu kila anayelala...