Kuwa na mpenzi mmoja,inawezekana.

Kuwa na mpenzi mmoja,inawezekana.

Madewa

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2012
Posts
467
Reaction score
192
Habari zenu waungwana,natumaini kuwa wote mu wazima!
Hivi ni kweli kuwa haiwezekani kutulia na mwenza mmoja ktk maisha?
Kuchepuka ni tamaa tu za mwili,ambazo haziishi,ila mtu akijifunza kuwa na kiasi,tabia hii huisha.
Vijana wenzangu,tujenge tabia ya kuwa na kiasi ktk mapenzi,tujifunze kuanzia sasa,mazoea hujenga tabia.
Kuwa na mwenza mmoja,inawezekana,fanya uamuzi sahihi leo,tuviadabishe viungo vyetu,tuache tamaa!
May Mosi njema!
 
yap!inawezekana kbs
 
Ukitanguliza tamaa mbele na kukodolea madada hutaweza lakini ukiridhia na kmpenda kweli mpenzi wako utadumu nae.
 
Haiwezekani....
Iliwashinda watu waliokuwa wanaongea Mungu live sembuse kizazi hiki cha nyoka.
Kumbuka story ya Daud na mke wa mwanajesh, Suleiman na wake wake na mahawara 300, Ibrahim na house girl.
Aha! Hii kitu ngumu kuliko unavyofikiri we sema kila mtu hapa ana siri moyoni mwake.
 
Ukitaka kujifunza usitafute mtu dhaifu ili awe role model wako, tauta watu strong na ujikane kuwafikia au hata kuwapita. hebu mwangalie mtume paulo, mwangalie Samwel, Ayubu, Musa, Eliya, Elisha, Yusufu ambaye hata aliikimbia zinaa bila kujali kifungo kilichofuatia. Kila jambo linawezekana ni suala la uamuzi wako tu.
 
Haiwezekani....
Iliwashinda watu waliokuwa wanaongea Mungu live sembuse kizazi hiki cha nyoka.
Kumbuka story ya Daud na mke wa mwanajesh, Suleiman na wake wake na mahawara 300, Ibrahim na house girl.
Aha! Hii kitu ngumu kuliko unavyofikiri we sema kila mtu hapa ana siri moyoni mwake.

Simama wewe kama wewe,usiutumie udhaifu wa watu wengine kuhalalisha mambo,wewe ni meneja wa maisha yako,acha kujibovusha kwa makosa ya watu wengine,chukua hatua,badilisha mtazamo!
 
Tufiakwaaaa.......heeeeee!!!!!.......
 
Back
Top Bottom