Mambo matano jinsi ya kumridhisha mwanamke

J

John W. Mlacha

Verified Member
Joined
Oct 4, 2007
Messages
3,510
Points
2,000
J

John W. Mlacha

Verified Member
Joined Oct 4, 2007
3,510 2,000
Wanaume hatimaye kutambua kwamba hawapo peke yao kitandani na kwamba kumridhisha mwanamke ni muhimu katika kudumisha uhusiano wa kimapenzi! Kuchukua hii kutoka kwangu nawaambieni, uhaya mambo matano yakitekelezwa kwa ufasaha, yatafanya mwanamke wako achanganyikiwe zaidi kila saa!

1)Wanataka uwe wa mwisho kumaliza: Kawaida wanawake huchelewa kutosheka kimapenzi zaidi ya wanaume, wastani wa dakika 8 zaidi wakati kikawaida wanaume wengi humaliza mapema hata kabla dakika 8 hazijafika!
2)Anapenda umpe maandalizi ya kutosha: Mwanamke huhitaji mda huu kabla ya tendo ili kuamsha hisia zao na kulainisha uke wake vizuri tayari kwa kuingizwa! Asipopata mda mzuari wa maandalizi, tendo zima hugeuka kuwa la maumivu. Maandalizi mazuri pia ni njia nzuri ya kumsogeza kazibu na kilele.
3)Kuchezea kinembe! Kinembe ni sehemu ambayo misisimko mingi kama sio yote, huanzia. Ukidharau kinembe basi kwa hakika inatosha kabisa kumfanya mwanamke asiridhike!
4)Maongezi ya kingono: Anapenda sana! Anapata nyege sana anaposkia kuwa unatamani sana kumridhisha! Mwabie utamfanyia nini na utamfanyaje na kwamba lengo lako ni kumpa utamu usio semeka!
5)Muulize ni kitu gani hasa anatamani umfanyie kitandani: Kila mtu ni tofauti inapokuja kwenye swala zima la ngono. Njia pekee ya uhakika ya kujua nini mwanamke anapenda kutoka kwako ni kumuuliza. Udadisi wako unaweza pia kumfanya akutamani zaidi.
Hauhitaji kuwa mtanashati ili kumridhisha mwanamke kimapenzi! Unahitaji udadisi kidogo na kujifunza zaidi
 
Borat69

Borat69

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2012
Messages
2,529
Points
2,000
Borat69

Borat69

JF-Expert Member
Joined Jun 17, 2012
2,529 2,000
Good analysis...lakini hiyo Namba 5 kwa Wanawake wetu wa Kibongo nafikiri itakuwa mtihani kidogo.
Wanawake wetu asilimia kubwa wako reserved sana...inapokuja kwenye suala la kukueleza anachohitaji umfanyie kitandani wengi wao wanakuwa na aibu na fikra ya kwamba wewe mwanaume utamchukuliaje. Ndio maana utasikia anakujibu "mimi sijui wewe tafuta mwenyewe".
 
2013

2013

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2013
Messages
9,810
Points
2,000
2013

2013

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2013
9,810 2,000
maisha ya ku-pretend sio.how 'bout that ah?
 
Mchokoz

Mchokoz

Member
Joined
Apr 10, 2013
Messages
33
Points
95
Mchokoz

Mchokoz

Member
Joined Apr 10, 2013
33 95
Kwa wadada wa siku hizi wa kugegedwa wakichat facebook sidhan kama itawezekana.
 
Will i.a.m

Will i.a.m

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Messages
349
Points
0
Will i.a.m

Will i.a.m

JF-Expert Member
Joined May 24, 2012
349 0
wanaume yote wataweza lakini mopja tu la kuzama chumvini
 
Ngalikihinja

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2009
Messages
19,749
Points
2,000
Ngalikihinja

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2009
19,749 2,000
Good analysis...lakini hiyo Namba 5 kwa Wanawake wetu wa Kibongo nafikiri itakuwa mtihani kidogo.
Wanawake wetu asilimia kubwa wako reserved sana...inapokuja kwenye suala la kukueleza anachohitaji umfanyie kitandani wengi wao wanakuwa na aibu na fikra ya kwamba wewe mwanaume utamchukuliaje. Ndio maana utasikia anakujibu "mimi sijui wewe tafuta mwenyewe".
hawana aibu bana... Utawasikia nipe hela ya kununulia VITZ
 
C

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Messages
12,380
Points
2,000
C

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2011
12,380 2,000
Wanaume hatimaye kutambua kwamba hawapo peke yao kitandani na kwamba kumridhisha mwanamke ni muhimu katika kudumisha uhusiano wa kimapenzi! Kuchukua hii kutoka kwangu nawaambieni, uhaya mambo matano yakitekelezwa kwa ufasaha, yatafanya mwanamke wako achanganyikiwe zaidi kila saa!

1)Wanataka uwe wa mwisho kumaliza: Kawaida wanawake huchelewa kutosheka kimapenzi zaidi ya wanaume, wastani wa dakika 8 zaidi wakati kikawaida wanaume wengi humaliza mapema hata kabla dakika 8 hazijafika!
2)Anapenda umpe maandalizi ya kutosha: Mwanamke huhitaji mda huu kabla ya tendo ili kuamsha hisia zao na kulainisha uke wake vizuri tayari kwa kuingizwa! Asipopata mda mzuari wa maandalizi, tendo zima hugeuka kuwa la maumivu. Maandalizi mazuri pia ni njia nzuri ya kumsogeza kazibu na kilele.
3)Kuchezea kinembe! Kinembe ni sehemu ambayo misisimko mingi kama sio yote, huanzia. Ukidharau kinembe basi kwa hakika inatosha kabisa kumfanya mwanamke asiridhike!
4)Maongezi ya kingono: Anapenda sana! Anapata nyege sana anaposkia kuwa unatamani sana kumridhisha! Mwabie utamfanyia nini na utamfanyaje na kwamba lengo lako ni kumpa utamu usio semeka!
5)Muulize ni kitu gani hasa anatamani umfanyie kitandani: Kila mtu ni tofauti inapokuja kwenye swala zima la ngono. Njia pekee ya uhakika ya kujua nini mwanamke anapenda kutoka kwako ni kumuuliza. Udadisi wako unaweza pia kumfanya akutamani zaidi.
Hauhitaji kuwa mtanashati ili kumridhisha mwanamke kimapenzi! Unahitaji udadisi kidogo na kujifunza zaidi
Ikimbie zinaa!
 
K

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Messages
4,411
Points
2,000
K

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2012
4,411 2,000
Good analysis...lakini hiyo Namba 5 kwa Wanawake wetu wa Kibongo nafikiri itakuwa mtihani kidogo.
Wanawake wetu asilimia kubwa wako reserved sana...inapokuja kwenye suala la kukueleza anachohitaji umfanyie kitandani wengi wao wanakuwa na aibu na fikra ya kwamba wewe mwanaume utamchukuliaje. Ndio maana utasikia anakujibu "mimi sijui wewe tafuta mwenyewe".
Ni kweli mkuu wanawake wa kibongo hawako wazi katika sehemu hiyo!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Borat69

Borat69

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2012
Messages
2,529
Points
2,000
Borat69

Borat69

JF-Expert Member
Joined Jun 17, 2012
2,529 2,000
hawana aibu bana... Utawasikia nipe hela ya kununulia VITZ
Mkuu hapo sijakuelewa hiyo Vitz imeingiaje kwenye mada ya kumuuliza mwanamke nini anapenda UMFANYIE MKIWA KITANDANI KIMAPENZI!?

Namnukuu mleta mada "5)Muulize ni kitu gani hasa anatamani umfanyie kitandani: Kila mtu ni tofauti inapokuja kwenye swala zima la ngono. Njia pekee ya uhakika ya kujua nini mwanamke anapenda kutoka kwako ni kumuuliza. Udadisi wako unaweza pia kumfanya akutamani zaidi.
Hauhitaji kuwa mtanashati ili kumridhisha mwanamke kimapenzi! Unahitaji udadisi kidogo na kujifunza zaidi" mwisho wa kunukuu.
 
Nivea

Nivea

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2012
Messages
7,463
Points
1,250
Nivea

Nivea

JF-Expert Member
Joined May 21, 2012
7,463 1,250
Hayo mambo huwezi nridhisha nayo wewe weka pesa uvunguni ntazungusha kiuno mpaka chaga zivunjike nijiokotee mipesa
 
E

EbraHero

New Member
Joined
Apr 30, 2013
Messages
2
Points
0
E

EbraHero

New Member
Joined Apr 30, 2013
2 0
Naku unga mkono kwa hilo ulilo lisema,
Jamani mlio na uume mdogo msijizarau,mautundu ndohayo sasa!
 
Borat69

Borat69

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2012
Messages
2,529
Points
2,000
Borat69

Borat69

JF-Expert Member
Joined Jun 17, 2012
2,529 2,000
Hayo mambo huwezi nridhisha nayo wewe weka pesa uvunguni ntazungusha kiuno mpaka chaga zivunjike nijiokotee mipesa
Hapo sasa!! Ugali wa motooo halafu mama ntilie mboga kakupakulia kwenye kisosi...ukikomba mboga kwa haraka unaimwaga...Tehee tehee.
 
mchafukobe

mchafukobe

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2012
Messages
369
Points
250
mchafukobe

mchafukobe

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2012
369 250
mimi nimeyafanya hayo yotee!
Tena nilikuwa napigamzigo hadi ananiambia ''umenifikisha katika dunia ambayo sijawahi kufika''

ila nilikuja kushangaa! Pale nilipomfumania kichochoroni akiliwa tunda namuhuni mmoja hv!
 
Qualifier

Qualifier

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2012
Messages
1,251
Points
1,225
Qualifier

Qualifier

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2012
1,251 1,225
Hayo mambo huwezi nridhisha nayo wewe weka pesa uvunguni ntazungusha kiuno mpaka chaga zivunjike nijiokotee mipesa
ukweli ndo huu hasa weka mezani awe anaziona ataimba kiwao dunia ya sasa kwishney
 
Junior Lecturer

Junior Lecturer

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Messages
807
Points
250
Junior Lecturer

Junior Lecturer

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2013
807 250
mimi nimeyafanya hayo yotee!
Tena nilikuwa napigamzigo hadi ananiambia ''umenifikisha katika dunia ambayo sijawahi kufika''

ila nilikuja kushangaa! Pale nilipomfumania kichochoroni akiliwa tunda namuhuni mmoja hv!
alikuwa anataka aonekama hayo mautundu unayo wewe tu au ndo "avumaye baharini papa kumbe wengine wamo".
 
Forum statistics

Threads 1,315,984
Members 505,466
Posts 31,875,897
Top