Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

wanajamvi naombeni msaada kwa huyu mdada sijui ata nini nimfanyie anakiburi na mjeuri ajabu akiambiwa tofauti na alivyotegemea ananuna wenda ata asiongee ama kama tunaongea kwa simu anakata na...
0 Reactions
65 Replies
8K Views
Habari zenu waungwana,shwari popote mlipo? Katika pitapita zangu,nikakutana na mada kuwa, Beautiful women,are not good in bed,ktk gazeti moja mashuhuri nchini kenya,mwandishi akijiridhisha kwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuna msemo kwamba uzuri huwa uko kwenye jicho la mtazamaji, sio kwa yule au kile kinachotazamwa. Bila shaka msemo huo una ukweli kidogo. Kwa nini? Kwa sababu watafiti wengi wa masuala ya...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Jana niliandika juu ya kutafuta mdada/mwanamke wa kuzaa naye mtoto kwa makubaliano. Nilipata kujifunza baadhi ya vitu kuhusu ndugu waliochangia ile mada. Baadhi walitumia busara kunishauri, na...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Wenyewe wameachana kwa sababu usizozijua kwa undani, lakini jamaa anaoneka kuwa mtu mzuri tu na mwenye sifa uzitakazo. Kutokana na mzingira ya kazi yako umekuwa ukikutana na huyo bwana wa...
5 Reactions
64 Replies
6K Views
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!! Yaani nimefanya upembuzi yakinifu kidogo tu kwa hizi 2 yrs post university juu ya ndoa za wadau wangu na kugundua kuwa siku hizi kuna mchezo wa sasa. Mambo si...
5 Reactions
105 Replies
6K Views
Wakuu salaam, Naomba ushauri wenu hapa kwenye hili jambo linalonitatiza sana kwa sasa. Niko kwenye uhusiano na huyu Malkia wangu kwa muda wa miaka sita sasa anaujauzito,lakini toka amekuwa...
2 Reactions
68 Replies
8K Views
Habari zenu wanajukwaa hili poleni na mihangaiko ya siku ya leo.baada ya kusema hayo ningependa kuelekea moja kwa moja kwa kile ambacho ningependa tutafakari/kujadili kwa pamoja.unaweza ukakuta...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari zenu wanajamii nawatakia week end njema, nawa dedicate na song hili hasa kwa wale wanaoipenda kweli ya Mungu..
4 Reactions
26 Replies
19K Views
Licha ya kuwa na kiwango kikubwa cha maambukizi ya Ukimwi, Mkoa wa Mbeya bado unatajwa kuwa eneo lililokithiri kwa vitendo vya ngono bila kuwa na tahadhari (ngono zembe)...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Huwaga na jiuliza inakuwaje choice ya partner wengine inakuwa Ngumu kuliko mtihani Wowote duniani .inakuwaje hapa !!!malezi,life style ,au?.98 percent ya life Yako ni partner wako people take time...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Usaliti ni kitu kibaya sana. Ni matokeo ya ukosefu wa ubinadamu. Ni kwenda nje ya makubaliano ya kimsingi. Ni uamuzi wa mtu kushusha thamani yake mwenyewe. Ni kujidhalilisha kwa makusudi. Ni...
3 Reactions
88 Replies
20K Views
Mimi ni kijana wa miaka 25 nasoma chuo kikuu mwaka wa mwisho now.natafuta girlfriend ambaye badae atakuwa my wife nipo serious na hili.kwa sasa nipo chuoni dar na juni mwezi ujao nahitimu shahada...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Tomorrow we will celebrate our mothers .May God bless all mothers " Happy mothers day "
0 Reactions
41 Replies
3K Views
Je utagunduaje kuwa Mwenzi wako ana Cheat na mtu mwingine? Uzoefu wa wengi waliopitia katika sekeseke hili unaonyesha kuwa kuna dalili kama 10 ambazo zitajionyesha na kukufanya uwe na hisia kuwa...
4 Reactions
229 Replies
40K Views
Hiki ni kisa nilichosimuliwa na rafiki yangu wa karibu. Umri wake ni miaka 27.. Namnukuu; " Nilikutana na huyu mdada kwenye mtandao wa kijamii. She is beautiful, descent...
1 Reactions
139 Replies
10K Views
Mim ni kijana wa kiume,mtanzania,mwenye umri wa miaka 27,nahitaji msichana wa kunipa faraja ktk kipindi hiki kigumu cha mahusiano nlichonacho! Siyo lazima awe single coz ninachohtaji ni faraja...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nina mchumba ambaye nimedumu nae miaka minne likini bado natamani wanawake wengine,nifanyeje?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa heshima kubwa tunapenda kutoa shukrani zangu pekee kwa wana JF ambao kwa namna moja au nyingine walishiriki nasi katika kutufariji katika kipindi kigumu cha kuondokewa na mama wa mke wangu na...
59 Reactions
117 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…