Siku Obama alivyotua bongo na familia yake .. Wadau wengi tulishinda tukikodolea macho family yake na watoto wake .. Nakubakia kusema mh.. watoto wa Obama wazuri ( sasha na malia ) , mara du mke...
Waungwana!! Mnisaidie katika hili! Nampenda sana naye ananipenda ila tatizo amepitiliza katika kuchat,yan sms 500 kwake ni masaa tu, kibaya huwa nikimtumia mimi za kwangu kwa kuchelewa anasema sms...
Nina miaka 28 elimu yngu ni degree ya computer natafuta msichana mwenye mapenzi ya dhati kama mimi asiye mwongo umri 18-24,mweupe,mfupi 130-150 cm,mlokole,elimu kuanzia form 4 ,wastani si mnene...
Habari wana Jf,
Mwaka 2007 nikiwa kidato cha pili shule ya sekondari umbwe nilipata mpenzi toka shule jirani inaitwa somsom, hakika nilimpenda sana huyo dada, lakini penzi letu liliingia doa...
Habari zenu marafiki mimi ni mwanaume nina miaka 28 elimu yangu ni degree ya computer natafuta msichana mwenye vigezo hivi awe mke wangu Mungu akipenda
1.Awe ameokoka(Mkristo)
2.Mwenye umri wa...
jamani wana jf me nilikuwa na kademu kangu ka mitaa ya nyakato mwanza jina***ila baada ya kumaliza ckul pale mhandu tulitengana sikuweza kupata hata namba yake ya cm wala kumuona tena huyu dear...
Kuna lodge inaitwa Florida Bar and Guest House.Imepakana na Flomi Hotel,mitaa ilipo Benne Hall hatua chache kutoka kwenye mnara wa simu uliopo pembeni ya msikiti. Naomba kwa nia njema mwenye...
Picha ya wapenzi. Wachawi wana uwezo wa kutenganisha nafsi mbili zinazo pendana kwa kutumia nguvu za kichawi.
MAOMBI YA KUUNGANISHA & KUTENGANISHA NAFSI &NAFSI,NAFSI&...
Habari zenu wana JF.Mi ni m'ke(28yrs) ni mtumish wa umma.nahtaj mume.nimelazimika kuandka post hii jukwaan kwasababu real am in need of some1 to make a family wt.nimeajiriwa ktk wilaya moja ambayo...
Nimekuwa nikihoji sana baadh ya friend wangu ana mademu mmoja mwalimu wa primary, mfanyabiashara, secretary ktk ofin flan na mwingine ni mwanfunzi wa chuo.. Amekuwa akijitahidi sana kuwa ficha...
Hii tabia ya kuongea kwa kubana pua kwa kwa Wanawake/Mabinti ni kitu cha kawaida japo siyo wote.
Lakiki tatizo linakuja pale mwanaume anapoongea kwa kubana pua, binafsi huwa hii kitu hainiingii...
Jamani vyovyote tutakavyosema na kutoa maoni yetu mbalimbali lakini ebu basi tuchukue hata dakika 3 tu kuwaombea hawa wenzetu kwa kufanikiwa kuwa vile mungu anavyoagiza wanandoa wawe,waishi..kuna...
Kuna msichana nampenda lakini yeye nahisi hanipendi nikimtumia meseji hajibu anasema hana credit .Kisa kwamba nilshawai kumtongoza akanikataa ni miezi sita sasa namfuatilia mpaka nimechoka yeye...
Zamani ilizoeleka wazazi kuwachagulia wenzi watoto wao na waliishi ka muda mrefu hadi kuzeeshana japokuwa kuna magumu waliyo yapitia walivumiliana
lakini siku hizi vija na hujichagulia wenyewe na...
Wana jf nimatumain yangu mko wazima na M/mungu anazidi kuwatetea, Mm niliku busy kidogo na kukusanya mazao ndio nimepunzika wiki hii . sas naomba tumsaidie kumpa ushauri rafiki yangu mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.