Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nimekuwa nikiwatafuta members wa JF walioko jijini Mwanza bila mafanikio, hivi kweli mpo au? Nijuze wapi mwakutana w/end hii? Japo kesho nina kikao cha harusi pande za Nyegezi lakini...
0 Reactions
75 Replies
5K Views
Wana JF natumai miwazima Nimepata rafiki ktk huu mtandao ni wa kiume kama mm tunawasiliana sn kwa simu nampigia ila yy huishia kutuma sms tuu sio mbaya kwangu kwani anadai hali yake ni ngumu...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Natafuta girlfriend ambaye ataelekea kuwa mke panapo majaaliwa... SIFA ZANGU:Mimi ni mwajiriwa wizara ya mambo ya ndani,kipato cha kawaida! Umri miaka 24 Nipo mbeya ndipo ninapoishi kwa sasa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwanin unakuta m2 hanapesa wala sio handsome boy, lakin anapendwa sana na watoto wa kike hata bila kuwatongoza na akitongoza hakataliwi??, au sometime huwa ni bahat 2??.
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Wakuu heshima kwenu, leo mchana mda wa lunch time, nlikuwa na mazungumzo na moja kati ya rafiki zangu wa karibu, anajambo ambalo alidhamiria kuliweka moyoni lakini kakosa uvumilivu kaona bora...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Kwa nchini Marekani, tatizo la unene ni janga la kitaifa.... Swala la wanawake kupunguza unene sasa limefikia katika hatua ya kushtua. Hivi sasa huko nchini Marekani mtaalamu mmoja amegundua njia...
5 Reactions
30 Replies
5K Views
Unapotoka na msichana yoyote yule, hata kama ana kuzidi kipato kwa kiasi gani, hakikisha wewe ndio unakuwa msimamizi wa show. Ikija bili, akitaka kulipa , mwambie " Please...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Ni mume anamwambia mke wake haya maneno,kaniomba ushauri dada huyu huku akilia kwa uchungu,nimemuomba atulie kwanza nitamtafuta siku nyingine akiwa ametulia.Anaumia sana kwani mume wake anampenda...
1 Reactions
47 Replies
5K Views
IGWEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Kimya kingi kina mshindo mkubwa! Msione nilipotea humu mazimaaa, nilikua najitafakari kwa kina kuhusu hili jambo! Kuna buzi langu, linachezea safu ya...
9 Reactions
109 Replies
10K Views
Natafuta marafiki wa jinsia yeyote(male and female) wa kubadilishana mawazo tu na si vinginevyo.awe na elimu yeyote(hajasoma,darasa la 7,kidato cha nne n.k).umri(miaka 18-25.km yupo tayar aingie...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
HOW TO IMPROVE YOUR SEX LIFE AND TO HAVE BETTER SEX CLICK BELOW TO WATCH THE VIDEO Hermes Power Inc: SEXUAL HEALTH CLINIC
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamaa mmoja kipofu kaenda mgahawani, alipofika akaletewa orodha ya misosi ila akamwambia meneja: mimi ni kipofu, siwezi kuona. Nenda jikoni niletee kijiko ambacho kimetumiwa lakini hakijaoshwa...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Umzaniae ndie, kumbe sie!!!!!!!!!!!!! Msinichoshe nisiwachose tupate khabari kamili!!!!!!!!!!!!!!!!!! Mwanzangu Big Boss mmoja...
20 Reactions
92 Replies
9K Views
Mwanamke Avuliwa Nguo zote Baada ya Kuingia Stand ya Mabasi Akiwa na Nguo Fupi Biashara zote zilisimama kwa muda katika stendi kuu ya mabasi ya Bomet nchini kenya wikiendi hii...
0 Reactions
22 Replies
9K Views
#Majanga Najisikia sihitaji mwanamke yeyote yule hata akiwa mzuri kiaisi gani. Sina hamu naye na wala siwezi kumfanya chochote. Naogopa kusema i hate you women kwani ni kama neno lisilo sahihi...
1 Reactions
121 Replies
14K Views
Oya jana maeneo ya GOMBSI Mombasa, kuna demu mmoja wa kisomali siku nyingi sana alikuwa ana nipenda, sasa jana nikaenda kumkamua. Nimepiga la kwanza baada ya dk 20 kifo cha mende. La pili nikataka...
1 Reactions
54 Replies
10K Views
Mwanamke ni sura,tabia tutakosoa,mwanaume ni pesa,sura tutavumilia.
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Kila mmoja anapaswa kufikiri na kutambua
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Hello, natafuta marafiki wa kuwasiliana nao, nina miaka 28, mwanaume, ninafanya kazi ktk kampuni ndogo ya micro finance sort of, napenda mpira(manu), kuogelea haswa beach, kusafiri, movies...
0 Reactions
1 Replies
980 Views
Natafuta mchumba jamn ila tu awe anandoto za kuwa mchungaj hapo badae kwa sasaivi 2le bata kidogo ili 2kisha2bu 2metubu mazimaa!!
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom