Mambo haya yahitaji subira

Mambo haya yahitaji subira

Anointed one

New Member
Joined
Jun 24, 2013
Posts
2
Reaction score
0
Zamani ilizoeleka wazazi kuwachagulia wenzi watoto wao na waliishi ka muda mrefu hadi kuzeeshana japokuwa kuna magumu waliyo yapitia walivumiliana
lakini siku hizi vija na hujichagulia wenyewe na bado ndoa huwashinda kwani hukaa kwa muda mfupi then migogoro huanza na hatimae kuachana kabisa
je,hii husababishwa na nini?
 
-Kukosa baraka za wazazi
-Watu wanaangalia material things sana
-Ndoa bila kujua mising yake
 
-Kukosa baraka za wazazi
-Watu wanaangalia material things sana
-Ndoa bila kujua mising yake
mind you wazazi wa siku hizi nao wana matatizo yao, wanataka ufanye kile anachotaka tu, hili ni tatizo sana
 
Back
Top Bottom