Jaman waungwana eti unaweza kumwacha mpenzi wako umpendaye kwa dhati eti kisa hayuko tayari kufanya nawe mapenzi kweli?
hata kukimbia kwa kuku ni mbwembwe tu sio kwamba hatakiInategemea ni kwanini hutaki kufanya nae hilo jambo.....!sio jambo lakumuacha mtu hilo
Jee mlishawahi kufanya mapenzi?? na kama tayari kwanini sasa hivi hataki?? hayo ndio maswala muhimu..Jaman waungwana eti unaweza kumwacha mpenzi wako umpendaye kwa dhati eti kisa hayuko tayari kufanya nawe mapenzi kweli?