Heloo
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 4,391
- 3,409
Jamani vyovyote tutakavyosema na kutoa maoni yetu mbalimbali lakini ebu basi tuchukue hata dakika 3 tu kuwaombea hawa wenzetu kwa kufanikiwa kuwa vile mungu anavyoagiza wanandoa wawe,waishi..kuna wanaosema eti wanaigiza,mara kisiasa jamani kama mtu hujui basi mi naona ni bora usichangie,obama na michelle si wa juzijuzi kwamba baada ya kuwa raisi ndo akaanza kushow lovesi kweli kwa wanaofatilia vitabu vyake hata kusoma historia yao watakwa nami kwamba hawa wanandoa ni good example kwa watu wote duniani...tusiwe wanafiki kumpenda mtu mpaka awe na pesa gari au eti sijui katoka familia ya kitajili and alike...tuigeni mfano huo mali na vyote munbgu hutoa wakati ukifika ni kujipanga na kufanya kazi kwa bidii na kuwa na malengo...mana wadada wengi siku hizi akikutana na mtu hapo wamekutana tu cha kwanza atakachotaka kujua una gari aina gani..kama unaona gari ni la maana kuliko mapenzi ya dhati kwa nini na wewe usiwe nalo kwanza ebu tuacheni izo we angalia moyo wako je umempenda kwa dhati hayo mengine yatafuata!! I love bama family!may god be with them forever more!