Hawa huwa wanamvuto sana, sema tu hawajijui......

Hawa huwa wanamvuto sana, sema tu hawajijui......

sarikoki

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
1,194
Reaction score
721
Za siku tele?... hope wote mko poa wapendwa, Katika pitapita yangu vichochoroni hata kwenye highway's nimegundua kuna watu wanaheshimiwa na kuogopwa kuliko hata maboss wa maofisini. Wa kwanza kabisa ni MANGI...huyu mtu hakwepeki mpaka masaki yuko, fanya yoote lakini usigombane na mangi wala kumdharau....... wapili ni MENEJA.....hehehehe wenzangu na mie mnajua naongelea nini hapa. Meneja ninayewazungumzia ni wa...Nyumba ya wageni na wa bar...ni nouma....ukimkuta mtu anamsomesha meneja kwenye corner, utafikiria anaongea na rais,jinsi anavyoongea kwa heshima na taadhima...... Ni mtizamo wangu tu lakini kama unaona kuna niliyemsahau unaweza ongeza.
 
Wacha urongo weye, nenda kwa mangi bila hela kama atakusikiliza
 
With money expect respect!
Ahhh we ujui Mangi na Manager ni high levels......
 
mangi unaemuongelea hapa ni yule muuza duka au......

huyo anaekaa chemba kuongea na meneja wa bar ujue ni kashindwa kulipa bili yake
 
mimi hakuna hata mmoja kti ya huo mtazamo wako....
 
mangi unaemuongelea hapa ni yule muuza duka au......

huyo anaekaa chemba kuongea na meneja wa bar ujue ni kashindwa kulipa bili yake

Yeah...Mangi wa dukani..... kabisa au bili imepita budget yake.
 
Wacha urongo weye, nenda kwa mangi bila hela kama atakusikiliza

Umeonaee...ndio maana lazima uwaeshimu...... ni watu wazuri sana wakati mambo yanapokua magumu.
 
Inawezekana ni utafiti wa kweli kabisa

Ila kwa watu ambao ni walevi, wazinzi/waasherati(wanaofanyia mambo yao guest) ambao sasa ni wakwepa majukumu wazuri na wenye hela za mawazo.

a) Wanakunywa pombe ila kulipia hapo kwa hapo shida
b) Wanataka kufanyia mambo yao guest lakini wapunguziwe gharama
c) Kisha wakishafanya mambo hayo yote wakirudi home hawana hela ya matumizi so inabidi wakaomba kukopa

such a pathetic cycle of life
 
Hasante kwa kuelewa......Ni asilimia kubwa ya vijana wanaishi hivyo mjini........ ila kwa swala la mangi wa dukani sio mbaya sana maana kuna wakati watu wanakwama hivyo lazima kumkopa Mangi maitaji ya nyumbani. Pia Mameneja wa Bar na Guests wanajua siri nyingi sana za watu......
 
Sasa mvuto hapo umeingiaje??!!!!mxxxxxiuuuuuuu
Ni kichwa cha habari lazima kivutie...... I can read peoples mind.... kama wewe umeona mvuto ukakimbilia fasta, huoni nimesoma akiliyako inafikiria nini.
 
sasa kama manunuzi yako ni ya jumla, mangi wa nini?

kama mtoko wako wa out ni kwenye club kubwa kubwa, huyu meneja wa bar wa nini tena?

nitawaheshimu kwa kuwa ni binadamu wenzangu lakini kwa wale wanaowaheshimu meneja wa bar ni kwa sababu wana mchezo wa kutorosha wahudumu kabla ya muda wa kazi.
 
Back
Top Bottom