Vannele
JF-Expert Member
- May 4, 2013
- 287
- 90
Hivi kweli baba mzima una mke na watoto unaenda kumuharibia mtoto wa mwenzako maisha kweli? Tamaa gani mlizo nazo wababa? Nazungumza kwa uchungu kutokana na jamaa mmoja kukutwa na kanafunzi ka darasa la V tena mbaya zaidi amekaharibu mbele na nyuma... Na baada ya mtoto kuhojiwa amekiri kuwa na mahusiano na huyo jamaa kwa zaidi ya mwaka... Tunakwenda wapi jamani?