Maumivu ninayopata haijawai tokea, nisaidieni namna ya kupata nafuu

sinza pazuri

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
2,925
8,415
Ndugu zangu mpenzi wangu ameniacha. Sijamkosea chochote ameamua tu kuondoka mbaya zaidi ananikashifu na kunipiga vijembe kwenye WhatsApp status zake.

Mwanzo nilidhani masihara lakini naona yupo serious ameondoka ameenda kwa mwingine. Nisichojua ni kwamba nimemkosea nini nilijaribu kumuuliza akanijibu vibaya akishajibu vibaya anani text tena nimsamehe mimi na yeye hatujagombana anaomba tusiwe na ugomvi.
Kwa kweli sijui kosa langu japo sometimes tulikuwa tunagombana anasema namfatilia sana simuamini. Mimi nimemkaushia japo naumia anataka kuja kwangu kuchukua vitu vyake nikitaka nivipeleke kwake au somewhere anapoweza vichukua ataki anataka avifate kwangu nikikataa anatoa lugha Kali, kwa hili pia sielewi lengo lake .

Kingine mimi nimeamua kumsahau lakini aachi kunipiga vijembe Watsapp ananichoresha kwa watu as if mimi kwake nilikuwa nothing japo tumepitia mengi mazuri.

Kiukweli inaniumiza inaniumiza kwa kuwa kaondoka wakati bado nampenda na inaniumiza zaidi hivyo vijembe vyake wakati mimi nimekaa kimya simjibu.

Nipeni ushauri kwenye mawili

Moja, nifanyeje ili nimsahau mapema ni-move on.

Pili, kama na mimi nikilipizia nitakuwa nakosea kumrusha roho pia?
 
Pole sana...jaribu kutulia kwanza....alafu kubaliana na hali kwamba ameenda...jitahidi usimlazimishe kurudi. Fanya ufute namba yake...ili usione mambo yake ya watsup.
 
Pole sana! Jikaze ndugu yangu....usimlipize wala usimjibu kitu chochote! Kweli nakwambia atakuja kwako kwa kilio na magoti..,,,dadeki hapo ndipo utamcheki na kuswepa! Mwache Mwenye Enzi Mungu afanye kazi yake!
 
Pole sana! Jikaze ndugu yangu....usimlipize wala usimjibu kitu chochote! Kweli nakwambia atakuja kwako kwa kilio na magoti..,,,dadeki hapo ndipo utamcheki na kuswepa! Mwache Mwenye Enzi Mungu afanye kazi yake!
 
Back
Top Bottom