Mdogo wangu anamla binti mimi kaka yake namla mama yake

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,351
11,451
anaandika
Madaga Kilambo Lubigisa.

"mimi nina mdogo wangu ambaye nimemzidi miaka kama sita hivi. huyu mdogo wangu ni kilanga moko sana. anawacharaza wanawake kama ndo profession yake hapa duniani. tatizo naye ni ana pendeza ana kazi na vijicent anavyo. sasa katika shughuli shughuli zake akaangukia kwa lidada limoja lipo NSSF lizuri limetakata sana linapendeza.akaanza kulila na mpaka sasa.

mimi mwaka jana nlikuwa mitaa ya IFM.. kwa issues zangu binafsi nikatokea kukutana na bini mmoja mashallah hasa mtoto white na ameumbika kinyama.nikampenda tukapendana. nikaanza nami kumla.last week mdogo wangu kaja home napoishi akanikuta na huyu binti ambaye ni shemeji yake sasa anaosha vyombo jikoni akaangize tupige msosi.akala akaaga kuwa anawahi kuna sehemu ana enda pata chakula cha jioni.

kenda alikoenda kesho yake asubuh tu akanipigia simu na kuanza kunihoji yule binti anakaa wapi. nikamwambia anakaa mikocheni.akanihoji maswali mawili matatu ndo kwa unyonge sana akanambia kumbe yeye anamla mama yake binti. maana alienda kwa huyo demu wake kwake kwa ajili ya chakula cha usiku akakupa ukutani kuna picha ya huyo binti na mamaye. akasema ni copy right ...

nikaona hii sasa shida. nami huyu binti nimeshampenda maana anajituma sana kwa mambo mengi si mvivu.siwezi mwambia kuwa mdogo wangu anakula mama yake... italeta ukakasi kidogo na siwezi mwacha pia. sasa najiuliza hii inakuaje maana mdogo wangu anasema yule mama ana uja uzito wake sasa. ana anautunza maana yeye ana mtoto mmoja tu huyu bint na mumewe alifariki so many years ago(haikuwa kwa ngoma lakini)

sasa tumeamua kila mtu ale kivyake ,kimpango wake. ila nawaza hili waswahili nao watasemaje? mimi nakula binti mdogo wangu anakula mama yake binti. ubaya upo wapi hapo? and what if wote tukiamua kuoa?"
 
Kuhusu kuoa haiwezekani labda huko kwenu Dar ila huku haiwezekani kabisa.
 
Chai... the content isn't supporting the title. Position changing. Who's going out with who? Damn!
 
Wasukuma bhuaana kwa kupenda sifa za kimalaya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom