Betty Mbereko, a 40-year-old widow who has been living under the same roof with her own son, 23-year-old Farai Mbereko is set to marry him.
The mother and son who are madly in love with each...
Huwa najiuliza na mwisho naishia kukosa majibu. Mtu na akili zako timamu unaandika mipost na uko serious eti unasaka mwenzi JF.
Watu wenyewe wa JF wanatumia majina na picha ambazo si za kwao...
Imemtokea mtu wangu wa karib.Amekuwa kwenye mahusiano na bf wake kwa mda.Amepata ujauzito na akamwambia mwenzie akafurah na kukubali kuilea mimba yake.Tatizo linakuja pale yule dada anapotaka...
Habari wana JF mimi kiufupi ni mgeni jukwaani,jambo lililonileta hapa ni kufatia busara zenu na naamini wengi wenu ni watu wazima. Mimi ni msichana wa miala 21 na mzaliwa hapa hapa...
Upo chumbani wewe na mkeo na watoto chumba chako kina choo na bafu ndani.Je wakati wa kuoga unawafukuza watoto au wanakuwepo na we unaenda kuoga.na wakati wa haja kubwa je?
Weekend niaje wanaMMU????
Yangu naimalizia hapaa, ila usiulize ni wapi!
Back to topic: Kama kawaida mjuavyo makazini ama maofisini huwa kuna utani wa hapa na pale baina ya wafanyakazi, mara...
Mikao kama hii huchangia hamasa ya ngono sehemu za kazi.
*.Mabosi huwatafutia safari kama njia ya kuwanasa kwa kuwa wanapokuwa hotelini pekee, wanawake wengi wanakosa ujasili wa kukataa...
Pole gal kisa una zigo basi ukitembea akili yote unahamishia huko "wananiangaliaa",pole hujielewi
Pole guy unaogopa kuvua viatu mbele za watu kisa vinatoa,dah usafi muhimu
Pole gal unatumiwa text...
Inasemekana Mwanamke anapofikia umri wa miaka 25 huanza kujiuliza kuhusu kuolewa, lakini pia huanza kujiuliza kuhusu watoto. Kama hajaolewa, hana mchumba au anahisi kutokupata mtu anayeamini...
IGWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kuna wanawake aina 3 kuu! CONSERVATIVE, LIBERAL na NEO CONSERVATIVE!!!!!!!!!!!
Conservative ni wale msimamo mkali...
Naja kwenu waungwana kutaka kujua mchango wenu wa ushauri, mi ni mfanyakazi na nina digree moja. Lkn najaribu kuangalia jinsi maisha yanavyokwenda kila siku naona ni afadhali ya jana.
Sasa...
Salam,
Baada ya Get Together Party iliyofanyika pale PRINCESS HALL-SINZA tarehe 11/08/2013 tunayo furaha kuwafahamisha mpaka sasa tumefanikiwa kuwakutanisha "pairs" 14 ambazo zinaendelea vema na...
Habari wana JF. Kifupi mimi na mke wangu tuko ndani ya ndoa kwa muda wa miaka 4 sasa na tumejaliwa kupata mtoto mmoja.
Mke wangu ni mwajiriwa serikalini hali mimi nafanya shughuri zangu...
Mm nakerwa sana na hii tabia lkn japo siwez kuiepuka sababu naweza kusema mm nj mtu mwenye aibu sana na hasa kitu changu nitahiyar ninyamaze na nikisamehe,siwez kusema nahonga maana kuhonga...
wasichana wengi wakijua kuwa ni wazuri na ni LULU mtaani kwa wanaume,huwa wanavimba vichwa.
1.Kwanza wanakuwa too much selective.
2.wanaamini hawawezi kukosa wa kuwaoa mana ni kivutio cha wengi...
Mtoto JonBenet Ramsey
John na Patsy Ramsey
Patsy Ramsey
JonBenet, Melinda, Burke na John Andrew Ramsey
John na Patsy Ramsey wakitangaza zawadi
John Mark Karr mtu aliyejipachika tuhuma za...
wana jf.
Hili suala limekua likiniumiza sana akili bila kupata ufumbuzi,wanaume wengi wanasema kwamba ukimwoa mwanamke mrembo ni kujitafutia homa ya moyo,ila wengi pia wanasema wanawake wazuri...
Rafiki yangu mmoja aliniambia wanawake ni life time project ambayo Mungu amewapa wanaume leo nimeamini,maana leo yuko hivi kesho yuko hivi,kazi kweli kweli
JESHI la Polisi mkoani Singida linamtafuta kijana mmoja mkazi wa Kibaoni katika manispaa hiyo kwa tuhuma za kumlawiti mwenzake na kumharibu vibaya sehemu za haja kubwa baada ya kumnunulia pombe...