Hii thread yako mkuu mbona kama umeandika uielewe mwenyewe....
^^
Usiumize akili kumwelewa mwanamke,,fanya yakupasayo utimize wajibu wako
^^
Rafiki yangu mmoja aliniambia wanawake ni life time project ambayo Mungu amewapa wanaume leo nimeamini,maana leo yuko hivi kesho yuko hivi,kazi kweli kweli