Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,326
- 3,446
Pole gal kisa una zigo basi ukitembea akili yote unahamishia huko "wananiangaliaa",pole hujielewi
Pole guy unaogopa kuvua viatu mbele za watu kisa vinatoa,dah usafi muhimu
Pole gal unatumiwa text na boy wako unamwonyesha shosti..haohao ndo wezi..jielewe
Pole guy baada ya kumaliza chuo ndo unakumbuka washkaji waliokutangulia,ooh ntaftie kazi,ulikua wapi b4..jipange
Pole gal kila unaempata hamdumu hata mwaka,unalalamikaaa,ukitongozwa wiki tu unampa mwili ....nani atakua na future na ww?jielewe aisee
Pole guy gal asikukubalie.unaanza kuongelea sex,wanaume wa ukweli hawapo hivo ww,jielewe(hapa neno langu sio sheria)
Pole gal daily unawaza makubwa ilihal uwezo huna,tulia utachezewa mpaka lini
Pole guy daily status za kulalamika,umeachwa mara moja tu ukiachwa mara 4 c utakufa kabisa...piga moyo konde lov kiti cha basi wewe
Pole guy,ukiona umetongoza zaidi ya mara 8 afu ukapewa mtoso jua vigezo huna,kua punga tu (nazinguaaaa)
Poleni nyie kila mkikutana mnaanza kukaguana simu mara nani kakupigia,huyu nani...arrrgh inakera bhana peaneni nafasi kidogo
Poleni wale ambao hawana wanaloliweza zaidi ya majungu,umbea,uzushi,udaku, uchonganishi...aaarghh mnakera sana aisee
Pole ww tangu ununue Blackberry huishi kutangaza Pin yako fb...sio mbaya lakini
Pole ww unaazima cha mtu hurudishi hadi ufatwe?,inakera bhana jishtukie au vp
Pole ww guy upo chuo unafukuzia demu semester nzima anakufanyisha maasigment yake tu leo hii kesho ile achana nae anakufanya love material huyo!!!!-