Nchaby
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 797
- 259
Habari wana JF. Kifupi mimi na mke wangu tuko ndani ya ndoa kwa muda wa miaka 4 sasa na tumejaliwa kupata mtoto mmoja.
Mke wangu ni mwajiriwa serikalini hali mimi nafanya shughuri zangu binafisi za kibiashara.
Tangu mwanzoni mwa mwaka huu 2013, mke wangu kabadilika mno kitabia na hana time kabisa na mimi.
Kila kukicha anasema kuna semina ofisini kwao ambapo hurudi nyumbani kwa kuchelewa mno. Na akifika nyumbani hulalamika kuwa kichwa kinauma mara zote; nikimwambia twende hospitali, hukataa kabisa.
Wana JF, naombeni mawazo yenu.