Ni wapi unapofika unastahili kusema basi?

PetCash

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Posts
1,995
Reaction score
2,017
Habari wanajamvi,
Mimi naona tatizo kwenye kitu kimoja. Kiukweli mimi huwasaidia watu wenye shida (Japo si saaana) Ila nina share yangu katika kutoa msaada. Huwa naumia kuona mtu maisha yanamwendea vibaya na ningetamani sana kama katika hii dunia kila mtu angeweza kupata mahitaji yake ya kila siku. Sasa mara nyingi unakuta nimejiwa na mtu na anataka msaada. Kiukweli hata simuulizi maswali mengi nampatia huo msaada kama naweza.

Sasa Mara nyingi mtu huyo atarudi tena na nitamsaidia. Akirudi mara ya tatu ntaanza kumchunguza na kumuuliza jinsi anavyojitahidi katika kuhakikisha kauli mbiu ya "maisha bora kwa kila mtanzania" anaifanikisha vipi kwa upande wake(Maana it begins with u).
Sasa wengine bana hawajielewi huzungukazunguka kuomba huku na kule kumbe.

Sasa unakuta mtu ni ndugu yako wa karibu kabisaaa! Jamani nauliza unamnyima ama ndo unafanyaje?
:confused2:Kwa sababu kama ni ushauri ushasema sana unakuta!
 
Ninnachoweza kusema hapa ni kwamba kwanza watu ambao hawawezi kujifikirisha au kuona aibu kuwa wamesidiwa mara nyingi na hivyo wasirudi tena wapo tena ni wengi tu{ila kwa mimi jamani uso wangu una haya kwani nikiomba msaada mara ya kwanza tu mara ya pili huwa najiuliza sana nianzie wapi,na hapo ninaweza hata kuishia kufa na tai yabgu shingoni}

Watu hawa wapo wa aina nyingi na jinsi ya kushughulika nao ni tofauti tofauti pia

1.Mtu anaomba umkopeshe pesa halafu anakaa muda mrefu bila kukulipa kwa kuwa amefeli kupata pesa za kurudisha kwa hiyo unaamua kumsamehe,afu mara ya pili tena bila shida anakuja tena kuomba umkopeshe tena,sasa huyo nadhani unapaswa umueleze ukweli na kumkumbusha kuwa aliwahi kuja kwako kukopa na kushindwa kurejesha mkopo na hivyo umueleze kuwa hutoweza kumkopesha tena kwani usingeppenda mkwazane kwa ajili ya pesa tu,kama ni mwelewa atakuelewa na kuona uko sahihi na kukuthamini kwa kutokuwa mnafiki kwa kumueleza na si kumtangaza kwa watu lakini kama si mwelewa jiandae kutangazwa fulani ana roho mbaya,kwa hiyo uwe tayari kwa yote mawili maanke si binadamu sisi!!!!!Hata hivyo jambo la msingi ni kfanya kitu moyo wako ukiwa umeridhia na si kuugulia ndani ya moyo wako.

2.Jamaa au ndugu au rafiki kaja kwako mara ya 1,2,3 na ya 4 kuomba msaada labda wa pesa kwa ajili ya mahitaji fulani ya nyumbani kwake na wewe unamsaidia,sasa hapo jiulize kama ameweza kuja kwako mara nne zote hizo je unafikiri hiyo ya nne ndio ya mwishao au?kiuhalisia huyo hana haya usoni mwake na bila shaka ataendela tena na tena kuja kwako kuomba msaada wako,sasa huyo inabidi kama unauwezo unaweza kumtafutia suluhisho la kuduma kama vile kumpa mtajia au kumtafutia kazi itakayomfanya aweze kujitegemea na kujitatulia matatizo yake,na kama atharibu kazi au kula mtaji basi hapo itabidi umchane yake na umwambie ukweli.

3.kuna mwingine unamsaidia kila akiwa na shida ila ikitokea siku ukakosa tu na kumwambia huna au umekwama basi shida tupu atakusema weeee mpaka basi,sasa huyo ni kumlia buyu kimoja hata awe na shida kiasi gani ili ajue umuhimu wako kwake.

Kwa ufupi hali zipo nyingi ila la msingi ni kuwa jinsi ya kukabiliana nazo ni kuhakikisha unafanya vile moyo wako unavyokutuma na kuhisi kuwa kwa kufanya hivyo utakuwa na amani na si hatia.
Hope nitakuwa nimesaidia kwa kiasi fulani bwanah mkubwa PetCash.

Maswahiba zangu akina Tamatheo taamu TheDealer WalasBa njooni pia mtupiepo nasaha zenu pia tujifunze kutoka kwenu.
 
Last edited by a moderator:

msaada hulingana na tatizo alilonalo mtu umsaidiae,ikiwa umemsaidia mtu kwa kiwango kikubwa kwa kiwango cha kulitatua tatizo kwa asilimia tisini na yeye hakuonesha juhudi nzuri kulitatua akija tena mwambie ukweli akibisha akasema una roho mbaya kamata tupa kule.utapendwa na wangapi bana.ikiwa umemsaidia mtu kwa hali na mali na bado akashindwa kutatua tatizo lile na ukajihakikishia kwamba kulingana na tatizo husika ilimpasa huyo mtu kushindwa na uwezo wa kumsaidia bado unao basi zidi kumsaidia.angalizo akiwepo mtu akukopaye kwa mazingira ya kawaida halafu kulipa anazingua na kisha anakuja kuendelea kuomba aongezewe mkwepe sana huyo mtu.kwa watu kama ndugu ni au watu wa karibu sana yatupasa kuwafungulia vimiradi kulingana na uwezo wetu ili kuepuka usumbufu na kero mbali mbali wanazoweza tusababishia.toa kulingana na uwezo na ujishikize palipo na shukurani pakwepe na upaepuke penye utegemezi na ulalamishi.habari za masiku mchuchu blue g
 
jamani wewe napoetela wapi banah aaahhhh sikuzote hizo mi nakutafuta umejificha tu,ulikuwa wapi ujue mi mwenzio nimkeumiss sana,ila mmmhhh avatar yako mie hoiiiiiiiiiiii?kulikoni we me au ke?
 
PetCash kila msaada au usaidizi una kipimo na kiwango
Huwezi tuu kuishia kutoa msaada mara ya kwanza na ya pili na ya tatu bila msaidiwa mwenyewe kuonyesha kuwa anajitahidi hata kile unachompa anakifanyia kazi au kuna juhudi fulani zinaonyeshwa na mhusika katika kuondoa utegemezi huo
Huwezi tuu kuendelea kutoa msaada au usaidizi kwa mtu ambaye haonyeshi juhudi zozote katika kujikwamua kutoka katika utegemezi wake
Naamini na wewe una mipango yako na malengo yako na anapokuja mtu kuomba usaidizi ni kwamba unavunja yale uliyojiwekea ili kutoa usaidizi kwa huyo jamaa na wewe usingetarajia kila mara budget yako iharibike kwa sababu ya mtu huyo huyo mmoja ambaye haonyeshi kama ana malengo ya kuacha utegemezi
Kuna mipaka na huwezi sema ni mara ngapi ila jribu mara zote unapotoa msaada husika uendane na elimu japo wengine kuwaambia ukweli wanaona kama unawanyanyapaa au unawasimanga na msaada unaowapa
Elimu ya namna ya kuepuka hilo au namna ya kutumia hata kile unachowapa sio wazoee tuu kupokea maana ipo siku na wewe mambo yatakuwa sio mazuri na unajua tena ukiwanyima wanasema unaringa
Nakubaliana na Himidini wafundishe kuvua samaki na sio kila siku uwape samaki ambaye tayari kashavuliwa
 
Last edited by a moderator:
Habari wanajamvi,
Mimi naona tatizo kwenye kitu kimoja. Kiukweli mimi huwasaidia watu wenye shida (Japo si saaana) Ila nina share yangu katika kutoa msaada. Huwa naumia kuona mtu maisha yanamwendea vibaya na ningetamani sana kama katika hii dunia kila mtu angeweza kupata mahitaji yake ya kila siku. Sasa mara nyingi unakuta nimejiwa na mtu na anataka msaada. Kiukweli hata simuulizi maswali mengi nampatia huo msaada kama naweza.

Sasa Mara nyingi mtu huyo atarudi tena na nitamsaidia. Akirudi mara ya tatu ntaanza kumchunguza na kumuuliza jinsi anavyojitahidi katika kuhakikisha kauli mbiu ya "maisha bora kwa kila mtanzania" anaifanikisha vipi kwa upande wake(Maana it begins with u).
Sasa wengine bana hawajielewi huzungukazunguka kuomba huku na kule kumbe.

Sasa unakuta mtu ni ndugu yako wa karibu kabisaaa! Jamani nauliza unamnyima ama ndo unafanyaje?
:confused2:Kwa sababu kama ni ushauri ushasema sana unakuta!

Pamoja na kwamba sijaitwa, ila ngoja nichangie kidogo.
Kama una uwezo wa kipesa, binafsi msaada wa maana zaidi ni kumsaidia mtu aweze kujitegemea mwenyewe, either kimawazo, kiutalaamu au kipesa (Mtaji). Kama ni mwanafunzi, mlipie karo na vitu muhimu vya shule, akimaliza mwambie atafute ajira na kujitegemea au msaadie kwenye ajira au kujitegemea. Kama ni ndugu, mshauri na msaadie (kwa kumpa mtaji au ushauri au utaalamu) na ajitahidi kufanya kazi na si kuishi kwa kupiga mizinga kwako. Hapo utapunguza mzigo wa utegemezi.

Msaada mdogo mdogo wa leo kaja umepa elfu 50 kesho laki, huwa ni wa muda mfupi na ni ngumu sana kumsaidia mtu kutoka kwenye shimo la matatizo aliyonayo. Msaada wa aina hii huwa unaongeza utegemezi. Ila kama huna uwezo mkubwa wa kifedha, basi jitahidi kumsaidi pale tu unapoweza na kumshauri afanye kazi au vibarua aweze kujitegemea. Wewe ukiondoka ghafla au kutoweka duniani yeye atabaki mgeni wa nani?

Na ukifanya hivi waweza kujibu swali la ukitoa msaada wapi unastahili kusema basi!
 
PetCash kila msaada au usaidizi una kipimo na kiwango
Huwezi tuu kuishia kutoa msaada mara ya kwanza na ya pili na ya tatu bila msaidiwa mwenyewe kuonyesha kuwa anajitahidi hata kile unachompa anakifanyia kazi au kuna juhudi fulani zinaonyeshwa na mhusika katika kuondoa utegemezi huo
Huwezi tuu kuendelea kutoa msaada au usaidizi kwa mtu ambaye haonyeshi juhudi zozote katika kujikwamua kutoka katika utegemezi wake
Naamini na wewe una mipango yako na malengo yako na anapokuja mtu kuomba usaidizi ni kwamba unavunja yale uliyojiwekea ili kutoa usaidizi kwa huyo jamaa na wewe usingetarajia kila mara budget yako iharibike kwa sababu ya mtu huyo huyo mmoja ambaye haonyeshi kama ana malengo ya kuacha utegemezi
Kuna mipaka na huwezi sema ni mara ngapi ila jribu mara zote unapotoa msaada husika uendane na elimu japo wengine kuwaambia ukweli wanaona kama unawanyanyapaa au unawasimanga na msaada unaowapa
Elimu ya namna ya kuepuka hilo au namna ya kutumia hata kile unachowapa sio wazoee tuu kupokea maana ipo siku na wewe mambo yatakuwa sio mazuri na unajua tena ukiwanyima wanasema unaringa
Nakubaliana na Himidini wafundishe kuvua samaki na sio kila siku uwape samaki ambaye tayari kashavuliwa

^^
Mr Rocky
Nina uhakika umefafanua vema sana
^^
 
Last edited by a moderator:
jamani wewe napoetela wapi banah aaahhhh sikuzote hizo mi nakutafuta umejificha tu,ulikuwa wapi ujue mi mwenzio nimkeumiss sana,ila mmmhhh avatar yako mie hoiiiiiiiiiiii?kulikoni we me au ke?
Mimi me blue g halafu mara nyingi natumia simu ndo mana hunioni vizuri.simu inazingua sana.mimi ni me sijui weye
 
Back
Top Bottom