Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwanza kabisa mnisamehe kwa wale nitakaowakwaza, ila nimefanya uchunguzi mkubwa kwa kuwashirikisha watu mbalimbali na nimegundua kuwa wanaume wengi wa kichaga wameathiriwa na uvaaji wa chupi zenye...
17 Reactions
217 Replies
32K Views
Kwa wanamme wa humu JF wenye hali kama yangu, Mimi kiujumla ni mwanmme niliyetulia. Sipendi makuu. Sipendi kubishana na mwenza wangu kabsaa. Lakin toka nimeanza mahusiano..nimekua mwaminifu...
3 Reactions
59 Replies
5K Views
Makusudi ya Mungu nikuifanya ndoa iwe paradiso ndogo' kwawanandoa mnatimiza agizo la Mungu? au ndoa ndoano?
1 Reactions
28 Replies
5K Views
sasa hiki ndio kipimo changu........ haka kabinti ni kazuri mnoooo (kwa macho yangu) na kuanzia sasa natangaza nia, ninitoka tu huku shamba lazima nimtafute mtu wangu wa ukweli lara 1 au...
4 Reactions
76 Replies
15K Views
Unakuta mnakua karibu na mwanamke, basi usipoonesha interest kwake na kuanza kuwa karibu na mwingine urafiki unageuka kua uadui mkubwa sana tena wa hatari. Ukipita msunyo, mara utamaliza mtaa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Deleted
0 Reactions
0 Replies
617 Views
Kuna baadhi ya mambo ambayo huwa wanaume wengi tunapenda sana na kimojawapo ni ZOEZI LA KUGEGEDA,kiukweli kila mmoja anapenda kujionesha ni mjuZi na mtaalamu katika sekta iyo nyeti ya utamu na...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Magomvi ya kila siku huu ni mwaka wa 15 , mwanamke ni mvumilivu kupitiliza. vikao kanisani . ofisi za kata woote wamenyoosha mikono rafiki yangu ni mtu asiyeshalika juu ya...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
mimi ni mwanaume naishi ughaibuni natafuta msichana atakayekuwa rafiki, mchumba na ikiwezekana ndoa Mungu akipenda. nimejiunga Jamii forums specifically kwa ajili ya swala hili maana nadhani labda...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
me me nipo moro hapa,natafuta mdada mzuri ntakae kuwa nae usiku wote wa fiesta huu jaman kwa mdada aliyekuwa tayari ani pm pakulala juu yangu.......
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Natafuta mke wa kuolewa. Awe mkiristo ameajiriwa awe na walau digrii ANITAFUTE KWA 0655945313 0762945313
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Niliwai kuleta topic ya kusumbuliwa sana na wasichana mkajaribu kunishauri nikafata ushauri wenu lakin nikama mlichochoe petrol kwenye moto.Nashukuru apa JF sijawai kusumbuliwa ila uraiani...
0 Reactions
112 Replies
9K Views
wakuu natarajia kutia ndani mahabuba. Yapi ya msingi ya kufanya usiku baada ya sherehe ukumbini na siku ya kwanza ya kuishi kama mume na mke. Naomba unipe experience yako na ushauri wa nini cha...
0 Reactions
55 Replies
4K Views
Mke wangu leo Amenichekesha sana Aliponiuliza wale Marafiki zako wa Kike waliokuwa wanakutembelea wakati hujaoa Mbona Siwaoni tena?Au ulikuwa ni Urafiki wa Kuoana?Twihi twihi..Kila jambo na...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
ni zaidi ya mwaka umepita na ilikuwa siri kubwa,sasa msichana amegundua nilicheza rafu asee kwangu hapakaliki nataman nilale kazin anasema nimwambie ukweli anisamehe,.kweli nilifanya kosa na...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Nina umri wa miaka 24,nachukua ka_degree katika moja ya chuo hapa Nchini.Nahtaji Mchumba ambaye atakuwa ni wife material.0759947397. sainthussein@gmail.com Nipo hewani masaa 24
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau nishaurini. Nina mke...tumekua na uhusiano kwa muda mrefu. Lakin mwenzangu huyu anatabia za uzinzi, lugha chafu na kiburi. Nimejitahidi kila niwezavyo lakin furaha siipati. Huu ni mwaka wa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wapenzi wa mmu, naomba nipewe pole kabla sijaanza kusimulia mkasa ulionipata jana alhamis ya tarehe 12 mwezi wa 9. Siku hiyo niliyoitaja hapo, ndoa yangu ya miaka 10 iliingia katika msukosuko...
2 Reactions
46 Replies
5K Views
Mama mzima anamfundisha binti yake kwenda kuiba kidogokidogo ili ajiandalie mtaji eti wanaume hawaaminiki. Mama mzazi wa namna hii anafundisha watoto wake wizi na kurudisha nyuma maendeleo ya...
1 Reactions
41 Replies
4K Views
1. Huna upungufu wa nguvu za kiume, bali huna hamu tu Kuna wanaume wakipungukiwa hamu ya ku do, wanadhani wana upungufu wa nguvu za kiume, kumbe kiukweli hawana hamu tu, na ili hamu ije inabidi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…