Hofu ondoa mwanaume

Hofu ondoa mwanaume

Gamba la Nyoka

Platinum Member
Joined
May 1, 2007
Posts
7,038
Reaction score
9,353
1. Huna upungufu wa nguvu za kiume, bali huna hamu tu
Kuna wanaume wakipungukiwa hamu ya ku do, wanadhani wana upungufu wa nguvu za kiume, kumbe kiukweli hawana hamu tu, na ili hamu ije inabidi uondoe mazingira yanayokufanya usiwe na hamu, kama ni ugomvi, tafuta suluhu, kama ni kazi nzito na ngumu tafuta muda wa kupumzika, kama stimu ziko mbali mwambie shemeji awe mtundu kama ni kulamba koni alambe tu usimuonee aibu au akupigishe nyeto.

2. Kiungo kikubwa cha Majamboz ni Ubongo wako na si dushelele
Dushelele kazi yake kuitikia signal za ubongo wako, iwapo ubongo utasema no, basi ni no, na ukisema Yes utaona jamaa atakavyokwea mnazi. kwa hiyo hakikisha unautrain ubongo wako kukupa signal sahihi unapohitaji, anza kujipa positive self talks, kama vile "mimi niko safi"," ninaweza kumridhisha mama haambiliki". Ukitaka kujua uwa ubongo ndiyo mpango mzima, jiulize kwa nini humtamani dada yako wa kuzaliwa, au kwa nini huwezi kumtamani mzazi wako?, hii ni kwa sababu ulishauprogram ubongo wako kwamba watu hawa ni no go zone!.

3. Usiwe na wasiwasi kwamba hauko kama ulivyo balehe
Wanaume wengi hujiuliza sana kadri wanavyokuwa, "mbona kipindi ninabalehe nilikuwa naenda round 6 au 7?", wakati unabalehe unakuwa flooded na testosterone hormone ya kumwaga, na kadri unavyokuwa hii hormone hupungua kwa hiyo mzuka nao hupungua kiaina, hii ni kawaida kabisa, ila unaweza kuiboost hii testosterone kwa kufanya mazoezi hasa yale ya kuinua vitu vizito, na vyakula kama pweza vinasaidia katika utengenezaji wa hormone hii.

4: Usihuzunike na Saizi ya Erection yako
Utafiti umefanyika umeonesha kwamba aina ya erections ina differ kati ya wanaume mbalimbali, kuna wale ikisimama inakuwa kati ya nyuzi 0 hadi 30, kuna wale inaokuwa nyuzi 30 hadi 90, kuna wa 90 hadi 120, kwa hiyo si lazima ikisimama iende mnara, so long as inaweza kumuingia mama Aambiliki basi kitu mwake mwanawane. kwa hiyo Hofu ondoa.
 
Back
Top Bottom