Agogwe
JF-Expert Member
- Feb 20, 2013
- 2,742
- 3,012
ni zaidi ya mwaka umepita na ilikuwa siri kubwa,sasa msichana amegundua nilicheza rafu asee kwangu hapakaliki nataman nilale kazin anasema nimwambie ukweli anisamehe,.kweli nilifanya kosa na nikisema nikubali balaa lake sijui kama nitaliweza. NIFANYE NINI?? Nitaibika ukweni:A S cry: