Yeye ndio chanzo cha mimi kutoka nje ya ndoa

Yeye ndio chanzo cha mimi kutoka nje ya ndoa

nina-kithembe

Member
Joined
Sep 14, 2013
Posts
63
Reaction score
14
Kwa wanamme wa humu JF wenye hali kama yangu,



Mimi kiujumla ni mwanmme niliyetulia. Sipendi makuu. Sipendi kubishana na mwenza wangu kabsaa. Lakin toka nimeanza mahusiano..nimekua mwaminifu sana kwa mpenzi wangu. Hua napata hasira sana nikigundua nadharauliwa..kudanganywa au kujibiwa majibu ya dharau. Hii hunifanya niende bar kunywa...nisirudi hata nyumbani. Hii hunifanya nitongoze mwanamke...au kujiweka kwa mwanamke yeyote ambaye alikua akinizoea zoea.



Sijui naachaje hii tabia. Na napenda sana kuwashauri wanawake waache kuwaudhi waumme zao. Hatupendi kurudi saa nane usiku huku tumelewa. But midomo yenu michafu ndo inatukwaza sana. Inatukosesha raha kurudi nyumbani mapema kucheza na watoto. Mnaudhi sana. Mnatufanya tuzini bila kutarajia. Acheni majibu ya nyodo na kiburi kisichokua na maana. Yan unaongea neno moja..wewe ushaongea ishirini. Mburula kweli
 
Wew endelea kuwagegeda mkuu mpaka mke wako akome...
 
Poyeeeee...... Ukipeleka ukimwi watoto sijui atakaa nao nani!!!
Try to be more wise! Hata kazini wakikukosea utaenda kuzini, hata jirani akigombana nawe utaenda kuzini vile Una hasira sana weye!
Ukizini ndiyo umetatua tatizo!!!!
 
Pu mbavu! Uhuni wako umsingiziee mkeo? Yeye ndio anaisimamisha ukiwa huko na mahawara zako?
Learn to own your mistakes, period!

Wee, huwezi jiongoza hadi mkeo awe mpole, namhurumia mkeo.
 
Mweleze mkeo tabia hiyo ili aache kuifanya lasivyo huko bar utazaa kabisa maana hao wanajua sana kuteka mind za waume wasiojua kumaliza matatizo kwny ndoa zao kama wewe.
 
Mmmh! Kwanini hasira yako usiichannel kwenye positive things?
 
WEWE sio mwanaume ulietulia hata kidogo........unlike what u said earlier............

kila anaeudhiwa na mwenza wake akiwa anaenda kungonoka huko nje si itakuwa balaa
 
Yaani we ndio -------- balaa....... Sa unafikiri unamkomoa mkeo au unajikomoa mwenyewe? Maana pesa unazonywea ni zako dushelele ni lako, tena na kwa taarifa yako we unajitafutia matatizo makubwa mbeleni ni heri uwe mpole uongee na mwenza wako taratibu ukiona inashindikana jikite kwenye mambo mengine yatakayo kufanya uwe bize kama kusoma bible.. Na si kuendekeza zinaa kwa upumbavu wako!!
 
Kwa wanamme wa humu JF wenye hali kama yangu,



Mimi kiujumla ni mwanmme niliyetulia. Sipendi makuu. Sipendi kubishana na mwenza wangu kabsaa. Lakin toka nimeanza mahusiano..nimekua mwaminifu sana kwa mpenzi wangu. Hua napata hasira sana nikigundua nadharauliwa..kudanganywa au kujibiwa majibu ya dharau. Hii hunifanya niende bar kunywa...nisirudi hata nyumbani. Hii hunifanya nitongoze mwanamke...au kujiweka kwa mwanamke yeyote ambaye alikua akinizoea zoea.



Sijui naachaje hii tabia. Na napenda sana kuwashauri wanawake waache kuwaudhi waumme zao. Hatupendi kurudi saa nane usiku huku tumelewa. But midomo yenu michafu ndo inatukwaza sana. Inatukosesha raha kurudi nyumbani mapema kucheza na watoto. Mnaudhi sana. Mnatufanya tuzini bila kutarajia. Acheni majibu ya nyodo na kiburi kisichokua na maana. Yan unaongea neno moja..wewe ushaongea ishirini. Mburula kweli

Sipendi kurudi nyumbani mapema naogopa VUVUZELA!!!
 
umewahi kusikia pombe eyes?
ukishakunywa kila mwanamke ni mzuri na utakuwa na hamu nae
jibu la matatizo yake ni kuacha kwenda bar, kwanini asiende kanisani au msikitini?
Mmmh, tamaa zako tu hizo mkuu. Kwa nn akikuudhi usiende kunywa pombe tu mpaka uzini? Kuna uhusiano gani wa majibu yake na ww kuzini?
 
Aisee huyu keshalikoroga alinywe tuuu....Naona anahaha...kama kuku anayetaka kutaga loh
 
Ukimwi upo karibu yako
kwa wanamme wa humu jf wenye hali kama yangu,



mimi kiujumla ni mwanmme niliyetulia. Sipendi makuu. Sipendi kubishana na mwenza wangu kabsaa. Lakin toka nimeanza mahusiano..nimekua mwaminifu sana kwa mpenzi wangu. Hua napata hasira sana nikigundua nadharauliwa..kudanganywa au kujibiwa majibu ya dharau. Hii hunifanya niende bar kunywa...nisirudi hata nyumbani. Hii hunifanya nitongoze mwanamke...au kujiweka kwa mwanamke yeyote ambaye alikua akinizoea zoea.



Sijui naachaje hii tabia. Na napenda sana kuwashauri wanawake waache kuwaudhi waumme zao. Hatupendi kurudi saa nane usiku huku tumelewa. But midomo yenu michafu ndo inatukwaza sana. Inatukosesha raha kurudi nyumbani mapema kucheza na watoto. Mnaudhi sana. Mnatufanya tuzini bila kutarajia. Acheni majibu ya nyodo na kiburi kisichokua na maana. Yan unaongea neno moja..wewe ushaongea ishirini. Mburula kweli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom