Mkiishi kwa miezi 6+=NDOA.

Mkiishi kwa miezi 6+=NDOA.

M.E.M.A

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2013
Posts
1,373
Reaction score
472
Wana MMU hii ipo serious kiasi gani? Na kuna yeyote ambaye ameshakamatishwa na hii habari?
 
  • Yap Mkiishi kwa miezi 6+=NDOA. kwa mujibu wa sheria. Wapo ambao walishatiwa hatiani katika hili swala.
 
Na hapo bado hujagusia ndoa ya mkeka...ile hata mkiishi saa moja tu watu wakiamua kukomalia unaozeshwa instantly...
 
Ngoja niweke udambwi-udambwi hapa!
Mkuu hata muishi pamoja miaka 40+ HIYO SIO NDOA!
Ndoa ni lazima ifungwe kisheria!
Kidini, tamaduni or kiserikali!
....
Kunakitu kinaitwa PRESUMPTION OF MARRIAGE (Sec.. 166 The law of Marriage Act of 1971):
Prsmpt of mrg ni dhana ya ndoa, ya kuishi pamoja m/me na m/ke kwa muda wa miaka 2 na kuendelea!
just ni presumption kama inavyojieleza! Ukikamilika tu ushahidi kama Hakuna misingi ya ndoa iliyofatwa, hiyo presumption inakua rebutable (+enye kupingika)
...
Hii presumption inasaidia nini sasa?
Hii inasaidia tu, kutoa haki kwa ke or me kutokana na KUTELEKEZANA! Hapa haiwekani uishi na karembo ukigegede weeeee more than 2 yrs, hadi ukafanye matege katoto ka watu, hadi nyonye liwe soksi, hadi nyonya na kiuno vichanganyike pamoja! Eti useme haumtaki! Ukimuacha wewe achukuliwe na nani? Hapa ni lazima utoe mantanance kwa mwenzio + watoto (kama wapo)
....
Sio ndoa coz huwezi kumshtaki m/me or m/ke kwa kuzini na Mpenzi wako! Hakuna fidia yoyote utalipwa hapa!
...
Nadhani umenisoma hapa!

Wana MMU hii ipo serious kiasi gani? Na kuna yeyote ambaye ameshakamatishwa na hii habari?
 
  • Yap Mkiishi kwa miezi 6+=NDOA. kwa mujibu wa sheria. Wapo ambao walishatiwa hatiani katika hili swala.

Mkuu hii nasikia ni hadi muwe mnaishi ndani ya nyumba moja...ama?
 
....
...
Hii presumption inasaidia nini sasa?
Hii inasaidia tu, kutoa haki kwa ke or me kutokana na KUTELEKEZANA! Hapa haiwekani uishi na karembo ukigegede weeeee more than 2 yrs, hadi ukafanye matege katoto ka watu, hadi nyonye liwe soksi, hadi nyonya na kiuno vichanganyike pamoja! Eti useme haumtaki! Ukimuacha wewe achukuliwe na nani? Hapa ni lazima utoe mantanance kwa mwenzio + watoto (kama wapo)
...
Nadhani umenisoma hapa!

Nimekusoma mkuu. Ila nimecheka sana izo maintanance fee..ha ha haa.

Kwa hiyo kwa kipengele hiki unaweza kushtakiwa?
 
Ngoja niweke udambwi-udambwi hapa!
Mkuu hata muishi pamoja miaka 40+ HIYO SIO NDOA!
Ndoa ni lazima ifungwe kisheria!
Kidini, tamaduni or kiserikali!
....
Kunakitu kinaitwa PRESUMPTION OF MARRIAGE (Sec.. 166 The law of Marriage Act of 1971):
Prsmpt of mrg ni dhana ya ndoa, ya kuishi pamoja m/me na m/ke kwa muda wa miaka 2 na kuendelea!
just ni presumption kama inavyojieleza! Ukikamilika tu ushahidi kama Hakuna misingi ya ndoa iliyofatwa, hiyo presumption inakua rebutable (+enye kupingika)
...
Hii presumption inasaidia nini sasa?
Hii inasaidia tu, kutoa haki kwa ke or me kutokana na KUTELEKEZANA! Hapa haiwekani uishi na karembo ukigegede weeeee more than 2 yrs, hadi ukafanye matege katoto ka watu, hadi nyonye liwe soksi, hadi nyonya na kiuno vichanganyike pamoja! Eti useme haumtaki! Ukimuacha wewe achukuliwe na nani? Hapa ni lazima utoe mantanance kwa mwenzio + watoto (kama wapo)
....
Sio ndoa coz huwezi kumshtaki m/me or m/ke kwa kuzini na Mpenzi wako! Hakuna fidia yoyote utalipwa hapa!
...
Nadhani umenisoma hapa!

Mkuu hiyo provision ni yenyewe kweli?
Nimeipitia ila naona kama maelezo yanatofautiana!
 
ngoja niweke udambwi-udambwi hapa!
Mkuu hata muishi pamoja miaka 40+ hiyo sio ndoa!
Ndoa ni lazima ifungwe kisheria!
Kidini, tamaduni or kiserikali!
....
Kunakitu kinaitwa presumption of marriage (sec.. 166 the law of marriage act of 1971):
Prsmpt of mrg ni dhana ya ndoa, ya kuishi pamoja m/me na m/ke kwa muda wa miaka 2 na kuendelea!
Just ni presumption kama inavyojieleza! Ukikamilika tu ushahidi kama hakuna misingi ya ndoa iliyofatwa, hiyo presumption inakua rebutable (+enye kupingika)
...
Hii presumption inasaidia nini sasa?
Hii inasaidia tu, kutoa haki kwa ke or me kutokana na kutelekezana! Hapa haiwekani uishi na karembo ukigegede weeeee more than 2 yrs, hadi ukafanye matege katoto ka watu, hadi nyonye liwe soksi, hadi nyonya na kiuno vichanganyike pamoja! Eti useme haumtaki! Ukimuacha wewe achukuliwe na nani? Hapa ni lazima utoe mantanance kwa mwenzio + watoto (kama wapo)
....
Sio ndoa coz huwezi kumshtaki m/me or m/ke kwa kuzini na mpenzi wako! Hakuna fidia yoyote utalipwa hapa!
...
Nadhani umenisoma hapa!
kwa taarifa yako tu ukiishi na mtu siku 90 usiku na mchana kam mke na mume na mashahidi wanne wakaseme kweli hawa watu wameishi muda huu hapa kama mke na mume hiyo ni ndoa inayotambulika kisheria !wala ukitaka kukimbia lazima mgawane kile kilichopo na kama mlipata mtoto ndio basi tena ,kama katika hizo siku 90 ulikuwa ni wakuja na kuondoka hulali haihesabiki kisheshia hiyo.so angalia sana sheria ni msumeno
 
Umeelewa vizuri nilichokiandika hapo?
...
Ni sheria gani inasema mkiishi siku 90 usiku na mchana tayari ninyi ni mke na mume?

Back
Top Bottom