News Alert; MMU Hotest Interview.

News Alert; MMU Hotest Interview.

PSPA Pure'12 udsm

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2013
Posts
834
Reaction score
450
Habari zenyuuuuu!!
Ni muda mrefu sasa tangu wana-MMU kushuhudia mahojiano murua kabisa juu ya personal life experiences ya baadhi ya watu hapa jukwaani. Mahojiano Yale,bila kumung'unya maneno kwa namna moja au nyingine yaliongeza kitu (+) ktk mahusiano yetu. Zaidi yaliibua changamoto ambazo pia ambazo pengine pia yameliacha jukwaa na ladha ya kipekee sana.
Japo ni ngum kujua km kweli people they live what they are saying,lkn directly reveals to our daily lives.
Binafsi napendekeza ile mijadala irudi tena,maana ninavoona jukwaa limekosa ladha ile na naamini ikirudi MMU will remain unboring.
Na kwa kuanzia,nampendekeza Madam gfsonwin ndo awe wa kwanza kabisa, japo ashahojiwa lkn nakumbuka interview yake ilifanyika usiku na hvyo wachangiaji wengi wakakosa fursa na hivyo kuacha lawama.
Interviewer anaweza kuwa yyt tu,lkn awe mtu makini.
Nawasiliaha; CC -WanaMMU
 
^^
Itakuwa vema kama lara 1 na Zinduna wakiweka wazi,,uzoefu wao na Exclusive Interview waliopata na changamoto walizokutana nazo hadi wakalazimika kusitisha.
Usidhani kuanika maisha ya mtu ni rahisi namna hiyo.
^^
 
Last edited by a moderator:
we are waiting for it....maana sijui ilikuwa inakuwaje kuwaje...........
 
MMU Exclusive inarudi tena! Soon! Im working on it! We wont dissapoint you!
Yap bora muirudishe aisee maana siku nyingi mno..

Napendekeza kwa upande wa ladies ahojiwe gfsonwin kutokana na heshima yake hapa jamvini maana ile ya kwanza wengi hatukua hewani late hours mno, kama itashindikana ahojiwe Heaven on earth kutokana na heshima yake jamvini pia...

Kwa upande wa mijibaba napendekeza ahojiwe watu8, kwani ni mtu mwenye heshima yake pia hapa jamvini
 
Mh, hapana, hawa waliopendekezwa mi nakataa bana, watu8 katoka kumsahuri babu yetu Asprin leo tu eti awe anatembea n aufunguo wa imejensi wakati bibi anapokataa kumfungulia, halafu Heaven on Earth aliwahi kutwambia dushelele la mpenzi wake hua linapwaya kwenye papuchi yake, nadhani tuchague wengine.
 
Huu wimbo wa kwamba itarudi itarudi nimeusikia muda mrefu sana, sijui hiyo 'itarudi' itakuwa lini! Sijui mwanzilishi kaishiwa maswali? Copy: lara 1
 
Last edited by a moderator:
we are waiting for it....maana sijui ilikuwa inakuwaje kuwaje...........

Ndio kwanza ulikuwa unatambaa kipindi hicho...naona sasa hivi umekua...

lara 1 mi naomba hak kabinti ukahoji ka mwanzoni kabisa tena iwe tight sana kama ile y Ciello
 
Last edited by a moderator:
Hahahah umenifanya nicheke kwa sauti hahahah

Haya mkuu nadhani wahusika wamekusikia...

Mh, hapana, hawa waliopendekezwa mi nakataa bana, watu8 katoka kumsahuri babu yetu Asprin leo tu eti awe anatembea n aufunguo wa imejensi wakati bibi anapokataa kumfungulia, halafu Heaven on Earth aliwahi kutwambia dushelele la mpenzi wake hua linapwaya kwenye papuchi yake, nadhani tuchague wengine.
 
Ndio kwanza ulikuwa unatambaa kipindi hicho...naona sasa hivi umekua...

lara 1 mi naomba hak kabinti ukahoji ka mwanzoni kabisa tena iwe tight sana kama ile y Ciello
watu8 umejuaje kuwa nilikuwa natambaa..........mie mkubwa mwenzio ujue..........
 
Last edited by a moderator:
Mh, hapana, hawa waliopendekezwa mi nakataa bana, watu8 katoka kumsahuri babu yetu Asprin leo tu eti awe anatembea n aufunguo wa imejensi wakati bibi anapokataa kumfungulia, halafu Heaven on Earth aliwahi kutwambia dushelele la mpenzi wake hua linapwaya kwenye papuchi yake, nadhani tuchague wengine.

hahaaa wewe naona una kisanga na mie.........

haya chagua hao wako basi.....................
 
watu8 umejuaje kuwa nilikuwa natambaa..........mie mkubwa mwenzio ujue..........

Kumbuka mimi pia huwa nipo kule getini nawapokea...
Siku unakuja ulikuwa bado binti mbichi kabisa...hata lile furushi la nguo uligoma katakata tusikupokee...
figganigga ndio akakuwahi na kukuonesha mji na mataa yake...
 
Last edited by a moderator:
Mh, hapana, hawa waliopendekezwa mi nakataa bana, watu8 katoka kumsahuri babu yetu Asprin leo tu eti awe anatembea n aufunguo wa imejensi wakati bibi anapokataa kumfungulia, halafu Heaven on Earth aliwahi kutwambia dushelele la mpenzi wake hua linapwaya kwenye papuchi yake, nadhani tuchague wengine.
Ha ha ha mkuu lakini hawa watu wana heshima sana hapa jamvini mkuu...

Error ya one day haiwezi kuwa cost kihiivyo , wengi tungependa kuwafahamu kiundani mkuu
 
Back
Top Bottom