Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari wana MMU, nina swali kuhusu wanawake hii haimaanishi kuwa wanaume msichangie mnakaribishwa wote,harusi za zamani na za sasa ni tofauti sana nakumbuka harusi kadhaa nilizozishuhudia miaka...
0 Reactions
36 Replies
7K Views
Mentor msalimie Suzie na Tanga ukihamishiwa kikazi hurudi tena? hakika una karne 3 za kuishi dalili zinaonyesha
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Naombeni kujua kosa langu ni nini? Ilikuwa siku ya birthday ya mpenzi wangu. Ninavyomjua huwa anapenda sana kulala. Basi mojawapo mwa zawadi nilizomnunulia ni mto (Pillow). Nilimwambia wazi kuwa...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
jamani mwanzoni nilidhani namuhisia vibaya ila nikaja ku realize ni kweli msichana wangu anatabia ya kunisearch mifuko wakati nimevua suruali nakwenda kuoga mara zote alizokuwa akija room nilikuwa...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Assault on morality!! South Africa court legalises sex for children as young as 12 years!!But only with each other and not with an adult. South Africa's highest court has made it legal for...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Ni rafiki yangu mkubwa....katika kubana matumizi ya gari mbili mjini akaamua kuajiri dreva ili awe akiwashusha ofisini ,watoto shule na kuwarudia.....sasa anaona kama mke anakua karibu zaidi na...
4 Reactions
40 Replies
5K Views
Akasema wanawake wazuri ni wasumbufu. Bora uwe na wa kawaida tu. Walikuwa wakiambizana wenyewe wakiwa watatu. Yawezekana wamepata.mkasa sehemu. Nao ni wadada tu. Sasa hao wa kawsida ndio wakoje...
2 Reactions
95 Replies
10K Views
Habar zenu wana mum,leo nimekuja na hoja yangu binafsi,kwa ukweli toka nilipokua mdogo mpaka sasa hv sijapata kuelewa hichi kitu kinachoitwa UTEPE kina uhusiano gani na sherehe?hebu leten majibu.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habari za mchana wana jamii hili ni angalizo tu kwa wale wenye watoto kwanza watoto wasizoee kufungulia watu milango muwafundishe maana kuna watoto wengine wakisikia mtu kagonga wanakimbilia geti...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Mara ya mwisho nilionana na mdada flani miaka ya 1995 tukiwa mjini Bukoba. Nimekuja kuonana naye jijini Mwanza akiwa tayari kaishaolewa, nami nimeoa tayari. Tulikumbukana kwa kuwa nilikuwa na...
3 Reactions
66 Replies
7K Views
​hivi ni baadhi ya vijiwe ambavyo husemekana vijana wengi...na wazee jijini dar huvitumiaga kutafuta wachumba wazuli...ambavyo baadhi ya wakina dada na akina huvitumia kutafuta...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Kutafuta mpenzi, ni kazi, na kumpata mpenzi, kuna kazi, kua na mpenzi, nako kazi, lakini kaa ucwe na mpenzi uone kazi. Sasa kua makini na wako mpenzi, nje kuna wadokozi na wezi, Jitahidi...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Mimi sio mwenyeji saana wa Dodoma ila napafaham kidogo. Pia ninapapenda, mara kadhaa nilishakuwepo kwa mapumziko binafsi. ishu ni kua nina marafiki kadhaa na ndugu Dom ila sina rafiki...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Mara nyingi wapenzi wanageana na kununuliana zawadi mbalimbali za kula na kuvaa, japo zawadi zingine ni ngumu sana hasa kwa wanaume kuwanunulia wenza wao zawadi hasa nguo za ndani ya mwili, kwa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
kutokana na kukosekana (upungufu?) wa wanaume wa kuoa wanawake walio single elfu 8 jana wameandamana nchini Nigeria kwa lengo la kuishinikiza serikali waolewe kivipi (sijui)....... WANADAI MAISHA...
4 Reactions
46 Replies
6K Views
Umewahi kujiuliza nahisi tutapata jibu kamili na kuwasaidia wale wanao google kwa ajili ya wenzao wao wa maisha hivi kwa nini wanawake wembamba wengi wanapenda wanaume minene na kwa nini wanaume...
0 Reactions
25 Replies
16K Views
Watch mambo ya China, huku ndiko Mkutano wa Haki sawa ulifanyika. Kumbe kweli wanafuatisha kwa vitendo. Wanajamvi mnaonaje na sisi huku bongoland tuka adapt.......Toa maoni tupeleke mswada bunge...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Habari zenu wana MMU, najua ni habari ndefu ila naomba tu uisome najua tutaibuka na hoja nyingi na nzito juu ya biashara...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Kwa wale wapenzi wa Nyumba Ndogo angalia Shairi hili: Nyumba ndogo si fahari,si pendo ulimbukaji, Pendo lisilo nadhari, daima unyatiaji, Mara nyingi ni kaburi, la kufukia mitaji...
2 Reactions
20 Replies
5K Views
UTANGULIZI. leo katika majukumu yangu nililazimika kupanda pikipiki baada ya kusisitizwa niwahi ofisini kwa haraka sana japo huwa naogopa kupanda bodaboda. HABARI. wakati bodaboda inakwenda kwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…