1. Kujamiana ni tendo ambalo kama alitafanyika kwenye wakati mzuri linasababisha madhara. Kujamiana ni kama nyuklia, kama nyuklia itatumika vizuri itasababisha upatikanaji wa nishati. Kama...
Nina rafk yang japo hatupo karibu sana ana mke wake. Huyo mke wake wanaurafiki na mchumba wang sasa huyo shemeji anakuja kuniomba nimzalishe anasema huyo jamaa ake hawez kumzalisha sasa...
La mgambooooooooooooooo limelia huko..........................
Yaani kwakweli nmesikitishwa na kilichompata dada Ufoo Saro kabisaaaaa,Sababu zinazovuma mpaka sasa ni mapenzi kimetokea nini...
Habari zenu?
Ni hivi nina wachumba wawili tofauti,sasa juzi kaja mchumba wangu Asha na ndugu yake kuja kunitembelea mara mpangaji mwenzangu naye akaja basi tukapiga stori zetu na kupata chakula na...
Waungwana mi ni kijana wa kitanzania,umri wangu ni miaka 32,nina kaz inayonipa kipato cha kawaida tu,nipo sirious kwa alie tayari basi ani pm then tujue la kufanya,karibun sana.
Kubali usikubali kama wewe ni mwenyeji wa Dar au umeshawahi kutembelea maeneo haya lazima ukubaliane na ninachotaka kukisema,.
Mwenge ni kubwa sana ila nitachukua eneo dogo tu nililolifanyia...
Hapa duniani maisha yetu ya kila siku tunayaendesha kwa kufuata miongozo au mapokeo kutoka katika makabila yetu (utamaduni), dini na pia kutoka kwa jamii au watu wanaotuzunguka (utandawazi)...
Maadili ya watoto wetu wa kike ni mada ambayo kwa sasa hatuna budi kukazia macho angalia mitaani,mashuleni na vyuoni hali si nzuri kimaadili kwa benti zetu,tusipoangalia tutapoteza kizazi hiki...
ukipenda ni vizuri kwa wanaume ila kuna haja kubwa sana ya kuwa na kiasi unapokuwa umezama kwenye mapenzi,kuna uwezekano wa mtu kuwa chiz kwa mambo madogo sana! Kwa takwimu zinavyoonesha 86% ya...
Being financially independent is excellent for everyone.
Each of us, can make a small or big effort to earn money and stand on our own feet. The benefits go beyond the economic reasons. It is good...
Mimi ni kijana ambaye sijaoa lakini nina mchumba!!!jambo lliilonieta hapa ni kwamba niibahatika kuzaa na binti mmoja mtoto kwa sasa ana umri wa mwaka mmoja,katika uhusiano wetu ambao haukuwa rasmi...
hivi umekuwa ulembo au kujialibu usoni sijui wao wahusika wanajitafsiri vipi au ndio tunaludi kwenye zama za wanawake wa kimakonde za kuchanjwa uso mzima.unamkuta mtu kaalibika uso kama kapigwa...
Maisha ya ndoa ni mazuri,lakini ni suala la msingi sana kuwa makini na ulimi pamoja na matendo yetu.Unapoingia kwenye ndoa pamoja na mambo mengine unapaswa kuwa makini na maneno ambayo unamuambia...
Matumaini yangu siku inawaendeeni vizuri, kwangu mimi sijielewi. Ni hivi, mimi ni kijana wa miaka 27 nina kadigrii kangu kamoja na mwakani naenda pale mlimani nikaendelee kukijaza kichwa changu...
Habari,
Sikuwahi kuwaza wala kufikiri kuwa iko siku nitakuwa in love feelings again na kum-miss niliyekuwa namuona wa nini.............
Its a long story na ilifika mahali nikaondoka kwangu na...
je, ni uchungu au furaha ya kupata mume/mwanaume wa kudumu?
au, ni furaha ya kuanza kupata penzi mfululizo bila mapumziko?
ama, wanaogopa FEDHEHA kwa vile bikra hawana tena?
au ni uoga wa...
kina mama na watoto zao wa kike wamekuwa wakiwashauli vibaya au kupokea vitu kutoka kwa watoto zao bila kuuliza au kuhojo tofauti na kinababa na wamekuwa wakisimama upande wa maslai bila kuangalia...
urembo ndio gumzo na habari ya watoto wa kike.
nguo ilikuwa kwa ajili ya kujisitiri lakini wataalamu wameenda mbali zaidi na kuzifanya kuwa urembo pia,mikufu na heleni pia.SIONGELEI UREMBO WA...