kina mama na watoto zao wa kike wamekuwa wakiwashauli vibaya au kupokea vitu kutoka kwa watoto zao bila kuuliza au kuhojo tofauti na kinababa na wamekuwa wakisimama upande wa maslai bila kuangalia hasara zinazoweza kuwakuta hii imekuwa mazoea au tabia hasa katika inchi zetu za kiafrika imesababisha ndoa nyingi kuvunjika au kuingia matatizoni mfano kama una ishu na mkeo usijalibu kuipeleka kwa mama mkwe wako itazidi kukuchanganya maana yeye na mwanaye ni kitu kimoja afazari ukaimaliza kimpango wako hakuna msaada usije ukategemea kama atakusaidia zaidi ataegemea kwa mwanae na kuzidi kukuchanganya