Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

1. Kichwa kinanizunguka ,kila nikifikiria Ni wapi ilipotoka, nani aloivumbua Ni nini hassa hakika, mie havijanelea 2. Kama ni mila hakika, iweje imeenea Kwa bara la afrika,yuropa hata asia Fikira...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
UKIMPATA mwanaume anayechunika mchune kweli yaani we mchune haswa …. Lakini ukishamchuna basi usijiangalie wewe mwenyewe sijui kuvaa maweaving ya laki tano, viatu vya laki tatu, kununua masimu ya...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu heshima mbele. Nimefikia uamuzi wa kuuliza hili kutokana na tafiti zangu binafsi kupitia kusoma blog mbali mbali na kuongea na baadhi ya watanzania waishio majuu. Je kwanini watanzania...
0 Reactions
99 Replies
8K Views
UTANGULIZI Kaka mtu anaitwa Furaha mdogo mtu anaitwa Amani Mwanamke anaitwa Rehema:A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:Amani na Rehema wameoana miaka kumi iliyopita, kwa...
0 Reactions
151 Replies
32K Views
Habari wakuu, mimi ni kijana wa miaka ishirini na tano nikiwa chuoni nimetembea na wanawake 30 sasa najuta alisikika akiongea kijana mmoja aliejulikana kama Born Born ni kijana mtanashati...
0 Reactions
21 Replies
7K Views
wanawake hujikondesha/kujinenepesha, hujichubua, Huvaa nguo za kubana ( cosettes, pelvic girdles etc) zenye kuumiza, na mengine mengi ili kuwafanya wavutie kwa wanaume wao. Hivi, wanaume nao...
6 Reactions
86 Replies
12K Views
Hamjambo wana MMU? Hapa nilipo kiroho kinanidunda kwa kumfikiria huyu dada! Kila nimwonapo nachanganyikiwa.Najiuliza: Kaolewa au yuko single? Namba yake ya simu ninayo lakini naogopa kumpigia...
2 Reactions
83 Replies
9K Views
Kwenye mapenzi kuna nyakati za kutofautiana na kukasirishana,kipindi hiki huwa ni cha hatari husababisha nyufa kubwa za uhusiano na kulifanya penzi kukosa ladha,watu...
10 Reactions
89 Replies
106K Views
Hizi ndizo dalili utazozitambua kupitia uvaaji, mnasemaje wanajamvi.
2 Reactions
36 Replies
4K Views
Kama nilivyosema awali (Kuna dada nilimpenda sana, ila nilishindwa kumuoa kwa sababu ya elimu ndogo aliyonayo; kipindi hicho sikujua ndoa ni zaidi ya elimu, ndio nimetambua sasa; nimekubali makosa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakati mwingine mtu anashindwa kabisa kupata usingizi mpaka upige moja-mbili ndio usingizi unakuja au asubuhi unajisikia mzito kuamka kitandani mpaka upige moja ndio nguvu zinakuja…hasa kama...
0 Reactions
61 Replies
10K Views
Baasi kuna tabaka la wasichana hapa mjini wengi wapo in their 20s,wanafikiri maisha ni kufanya starehe mtoto wa kike unakesha baa, getting wasted kama wanaume mtoto wa kike vijiwe vyote...
7 Reactions
72 Replies
5K Views
Wakuu kuna frend wangu alikua anasumbuliwa na binti mmja wa kimakuwa ki ukweli jamaa alikua hamtaki na wala hana hisia zozote kwa binti na Ukitegemea tayari alikuwa na mupenzi wake na...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Wana MMU Kwa msichana Ambae umemtongoza na akakuonyeshea dariri zote amekubari rakini ukimwambia akupe jibu ilikusudi upate uhakika anakaa tu kimya na hakatai wala hagomi na anabaki tu anaona aibu...
1 Reactions
46 Replies
5K Views
Habari wana MMU Samahanini kwa wale nitakaowakwaza sio lengo langu ila huu ni mtazamo wangu tuu Nimekaaa nikafanya utafiti wa mda mrefu hasa kwa sehemu zilizo na muingiliani wa watu wengi...
0 Reactions
62 Replies
8K Views
Niko maeneo ya nyumbani napunga upepo. Barabarani anapita mbwa jike akienda anakojua huku akichechemea. Ni mzazi kwani ana watoto wadogo kwani nimeshawaona. Wamekua kiasi na wana afya njema...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
1.honey how are u doing? are you alright? i hope you are safe! call me back,i lov u baby. 2.whats rong honey?are you alright? 3.hii sms iliingia kwa simu toka kwa faza house,kupiga kuulizia...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
habari zenu wana mmu! ni wiki ya pili nasumbuliwa na hichi kitu PHONESEX! nimewahi kuambiwa na x-gf wangu pindi alipokuwa mbali na mimi ila nilimkatalia kwa hofu kuwa sijui hata pa kuanzia...
0 Reactions
47 Replies
5K Views
Hii inasemekana kutokana na wao kufanya vitendo vingi vya kikatili kama Kumuua hata mtoto aliye mzaa. Kushiriki sana kwenye uchawi na idadi kubwa ni wanawake na hata kuwaua waume zao.
0 Reactions
54 Replies
7K Views
Nina rafiki yangu ambaye alikuwa na mpenzi wake ambaye alikuwa anampenda sana na kumwamini sana mpaka kufikia hatua ya kumvisha pete ya uchumba. Jambo ambalo lilitufanya tuseme kuwa hawa...
2 Reactions
66 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…