Habari wandugu,
Leo ni siku iko tofauti si kidogo, imetokea nikiwa sitarajii rafiki wa mpenzi wangu kaniletea bahasha najuwa ni zawadi kumbe ni line za simu na kaujumbe kakuachwa kenye maneno...
Nikimuona mdada anayeuza heshima yake na thamani kwa kuamini akitoa nyuchi yake ndio atamvutia mmanaume kuwa comitted na kumpenda kwa dhati ninashangaa nakufananisha na muuza karanga anayekuja bar...
"Based on a True Story "
SEHEMU YA 1
"Tina! twende baba yangu amekuja" Haya ni maneno ya rafiki yangu Emmy mchana ya Siku ya jumamosi ya mwisho wa mwezi.
"Mmh! Wewe nenda ukirudi utanikuta"...
Kwenye kutongoza mdada umewahi kukutana na changamoto gani kutoka kwake?
Ulitumia njia gani kumzima pale ulipoona anakuja juu na maringo kibao?
Ni neno gani ulilomwambia mwanamke hadi akashindwa...
Nimeoa wiki mbili tu zilizopita, lakini tayari nimechoshwa na maisha haya. Nahisi kama ninaishi maisha ya kipumbavu . Nashangaa jinsi watu ambao wamekuwa kwenye ndoa kwa miaka mitano au zaidi...
Katika maisha ya ujana tunakutana na mambo mengi sana, mengine ya kutisha na mengine ya kawaida. Binafsi katika ujana wangu nimepitia mambo mengi mazito, nimeumizwa sana katika mapenzi na...
Sijui kama wake zenu wana tabia kama ya mke wangu. Yaani huyu bibie kila tukio analohudhuria lazima alipost kwenye WhatsApp, Instagram, au Facebook. Pia, anapenda kujipiga picha na kujipost...
Naam ni kama miaka miwili imepita nikiwa na mtoto wa chuo Mimi pia nikiwa chuo tafauti, mtoto nimezama nae penzini baada ya kama kukutana kwenye sita kwa sita kama mara nne siku Moja mtoto...
Umoja wa Wanawake nchini Rwanda unapanga kupeleka ' Muswada ' maalum Bungeni huko ili iwe Sheria rasmi ambao utawataka Wanaume wote wa Kinyarwanda Kuoa Wanawake ambao wako tu ' Bikira ' na kwamba...
Wakati mpo wabichi wa miaka 19 mpaka 24, Sisi mlituona washamba.
Sisi mlituona hatuna swagger za watoto wa mjini.
Sisi mlituona tupo kama wazee wa kale.
Sisi mlituona tupo kama walimu wa...
Je ulishawahi kutoka kimapenzi na Rafiki wa mpenzi wako?
Binafsi nilipita na marafiki watatu wa mpenzi wangu kwa mpigo na wote walikuwa wananipenda cha kushangaza licha ya kuja kujuana hawakuwahi...
Ndugu zangu, i don't have someone to talk to lakini mawaidha fulani fulani katika hii platform yamenijenga kiasi.
Naomba ndugu zangu muweze kunisaidia kung'amua hili jambo nahisi litanipa...
Wakuu
Atakaye kuambia mapenzi ni pesa basi atakuwa anakudanganya na usimwamini.
unaweza kuta mtu ni fukara,na kula yake ni mpaka aende vibaruani ila ana wake wawili na wanamuelewa vizuri tu
hali...
Wanandoa wengi makadilio ni 70% ya wanandoa wanaishi kama maadui ndani ya nyumba
yani hawana upendo kabisa ukifikili kwa undani ni mabadiriko ya akili ambayo ufanyika kwa wanandoa wengi sana...
NDOA SIO GEREZA. WANAOSEMA NDOA NI GEREZA NA NDOANO NI WAPOTOSHAJI WAKUBWA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Mapenzi na ndoa msingi wake Mkuu ni UPENDO na MFANANO.
Unapotafuta mwenza wako wa...
Haya siyo maneno yangu, ni maneno ya mwanamke mwenzenu, huyu mama kaongea kwa uchungu sana maana ndiyo ukweli wenyewe wa kinachoendelea kwa sasa.
Dada na wadogo zetu wa kike msipoamka kutoka...
Inasemekana kwamba siku ambayo Mpenzi / Demu / Mkeo akijua kuwa anaenda Kukusaliti / Kubanduliwa na Mwanaume / Njemba mwingine huwa anakuwa anakuchangamkia mno tena kupita kiasi au siyo kama...