Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Katika tafiti zangu nimegundua asilimia kubwa ya uzuri wa mwanamke unaendana na jina alilopewa utotoni,,kifupi sijawahi kuona nancy mbaya,,au irene mbaya,,au michel mbaya,,au sabrina mbaya,,au...
0 Reactions
19 Replies
7K Views
Hii hapa ni stori ya kweli inayomuhusisha msichana mmoja Mcameroon aliyefahamika kwa jina Elvire Axelle Tchamakoua. NA HIVI NDIVYO ILIVYOTOKEA; Axelle ni kahaba ambaye alikuwa akiuzwa kwa...
3 Reactions
60 Replies
124K Views
Kila nikisoma jukwaa hili najiuliza hivi kuna watu waliowahi kukutana tu jf wakafahamiana na baadae wakajuana na hata kufunga ndoa? sometimes naamini hii inawezekana lakini nataka watu waliopitia...
8 Reactions
53 Replies
6K Views
Nilitokea kumpenda dada mmoja wakati nipo mlimani nasoma. Dada huyu alitokea mwanza alikuwa na dada yake mkubwa akiishi mtaani kwetu, walikuwa wamezaliwa baba mmoja ila mama zao mbali mbali ila...
5 Reactions
161 Replies
11K Views
Ni stori ya ukweli,nilikuwa na mpenzi wangu ambaye kila siku alikuwa anapitia getoni kwangu usiku anakula baada ya hapo ananiambia nimsindikize anaenda kulala kwa shangazi yake.Nilifanya hivyo...
1 Reactions
62 Replies
8K Views
Wadau mara kadhaa nimejitokeza hapa JF kutafuta wachumba lakini matokeo yake ni DISASTER tupu maaana nimekutana na vitimbi vya hatari ikiwamo kukutana na Visirani, Gold Diggers,vijizi & Matapeli...
0 Reactions
0 Replies
746 Views
Kwa mapenzi ya MUNGU nitafunga ndoa mwezi Novemba katikati na mchumba wangu wa siku nyingi. Moja kati ya watu ambao sintataka wahudhurie katika shughuli zote za harusi...
1 Reactions
91 Replies
12K Views
1.kujifanya bize muda wa kuanza mech. 2.kuongelea siri za ndani kwa mashost wake 3.kuleta matukio ya kazini kwake home. 4.kuzungumzia matatizo ya kwao mara kwa mara 5.kupekua cm ya mmewe...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Habarini wana Jamvi. Baada ya salamu hiyo naomba mnitoe wasiwasi kama sio tamaa. Jamani wanajukwaa,eti ni kweli kuwa wanawake wanene ni watamu kuliko wembamba...binafsi sina uzoefu na hawa...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Japokuwa Mapenzi ya siku hizi yamekuwa shubiri Usikate tamaa, tambua kwamba Ipo siku utanyamazishwa na utaheshimiwa, Mungu atapokukutanisha na aliyeandaliwa kwa ajili yako
3 Reactions
104 Replies
8K Views
Wapendwa, habarini zenu? Kwanza niwatakie heri ya mwaka mpya wa 2011. Sikupata nafasi ya kuwaambia hivyo kutokana na kutingwa na mambo mengi. Pia, napenda kuchukua fursa hii kuwashukuruni wote...
1 Reactions
48 Replies
4K Views
Hellow natafuta mchumba mwanadada awe anajielewa kielimu kama mimi ani Pm ntatuma email yangu umri 19 ty 20,atume no yake
0 Reactions
12 Replies
1K Views
habari ndugu zangu wa mmu,mimi ni kijana nina mpenzi wangu wa kike ambaye nampenda sana nimeanza kuwa na mahusiano naye toka yy akiwa form 3 na huku mimi nikiwa namaliza form six(2008).kwa sasa...
0 Reactions
112 Replies
9K Views
Kuna hili swala wana MMU nimekuwa nikijaribu kulifikiriauzito wake na application yake; Maandiko yanasema mwanaume ampende mke wake na mwanaumeamuheshimu mume wake . Na kwa utafiti wangu wa...
4 Reactions
40 Replies
5K Views
Usiku wa jana nikiwa fiesta backstage na boss wangu. nilishangaa kuitwa na watu 3 tofaut kwa nyakat tofauti. ambapo wote walianza kwa kuniuliza ikiwa mimi ndie Heaven wa jf ilipokuwa ikitajwa...
0 Reactions
78 Replies
5K Views
Unafika club! Unamuona mpenzi wako kabla hajakuona unampigia simu:- Wewe: Hi daring Yeye: Hi dear Wewe: what are you doing? Yeye: Nothing much, ‘em really tired. Just going...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nimejifunza hili kutoka kwa wanaume kadhaa kwamba huwa hawataki kusikia wanapoambiwa kitu iwe na wazazi wao au wake zao mpaka wanapopata matatizo makubwa. Sijui kwanini, vitu vingine vinaeleweka...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
A.salaam wanajf.. Nilikuwa nimempenda sana jamaa mmoja handsome kweli kweli... anatokea kanda ya ziwa. Tatizo alikuwa msaliti...yaani msaliti aliyebobea..hadi nilikuwa namfumania ba wasichana...
2 Reactions
36 Replies
25K Views
KWA HISANI YA Danguro la uchi la wanafunzi wa vyuo vikuu jijini Dar lafumuliwa - Bongonews 24™ Maalum ya Dar es Salaam, CP Suleiman Kova kwa kushirikiana na Oparesheni Fichua Maovu (OFM)...
0 Reactions
59 Replies
32K Views
May the Lord connect you to a right woman,.A woman who will not waste your money, time or energy,.A woman who will influence you positively,.A woman who will love and respect you even when your...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…