Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwanza wadau niwape heko kwa kuziendeleza harakati za kumkoboa mtu mweusi ...! ilikuwa jana kipindi nasubiri pindi la lecture ya history hapa chuoni..., kuna mdada mmoja akawa ananipa story za JKT...
0 Reactions
44 Replies
13K Views
Jamani wadau nisaidieni kwa hili mimi ni house boy nimetolewa kijijini kuja kulisha mifugo ya bosi wangu hapa dar lakini huyu shemeji yangu yaani mke wa bosi wangu ameshanionyesha dalili zote za...
1 Reactions
83 Replies
36K Views
Habari wana Jf? Mko ndani ya mahusiano na mwenzako,mkajikuta mkipiga story story siunajua tena mtu unapotaka kujua msimamo wa mwenzako, mara ukachomekea swali ukajibiwa hivi "...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
natafuta mwanamke wa kuoa kwa ndoa nikipendana nae nikiamini kuwa Mungu atanisaidia. Sifa zake: awe mweupe, miaka 18 hadi 23, mwenye elimu kuanzia O-level, au aliyeajiriwa, mkatoliki...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wabongo bwana alietuloga sijui kafa unakuta mmama ana duka zuri tu...kafunguliwa na buzi lake au mume wake au kachukua mkopo inshort kasuffer kulipata! huyo saa mbili yupo dukani kwake mapema tu...
3 Reactions
35 Replies
9K Views
Kwa kweli inauma sana,licha ya kwamba hata akina dada wanaweza kulaumiwa lakini kwakweli ni too much hapa bongo. soma hiki kisa utajua naongea nini Kisa kizima soma hapa FUMANIZI!!! MKE WA...
0 Reactions
30 Replies
6K Views
Kuelekea kwa show kubwa inayokuja ya p-squre, ninatoa kama zawad, kama wewe ni a lady na unapenda kujirusha na burudan na ku-have fun , na mostly hauko kwenye serious relationship ama single, siku...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
natafuta mwanamke wa kuoa kwa ndoa nikipendana nae nikiamini kuwa Mungu atanisaidia. Sifa zake: awe mweupe, miaka 18 hadi 23, mwenye elimu kuanzia O-level, au aliyeajiriwa, mkatoliki...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Waswahili wanasema majuu hamnazo,kweli hamnazo..akina mama wa Marekani wanaimba sheria ya nchi yao iwaruhusu kutembea vifua wazi kama wanavyoruhusiwa wanaume.Sasa wameaanzisha siku inaitwa...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Hadi leo unakutana na mwanaume anaona AIBU anapokutana na DEMU au mwanamke yaani mara anaangalia chini, kushika kichwa, mara ageuke nyuma.....aarrrrrrgghh mm kama mwanaume kama nimemwoana...
0 Reactions
116 Replies
20K Views
Kuna mdada (ni mzuri) mmoja huwa tunapishana kwenye korido katika sehemu ninayofanyia kazi na tunafahamiana kama mwaka hivi. Sasa kuna siku zamani kidogo, nakumbuka tulishawahi kujikuta tupo...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Hii imetokea katika mji wa Goa nchini India siku chache zilizopita, ambapo kijana mmoja wa kinigeria alichomwa kisu hadi kufa. hali hii imepelekea raia wa Nigeria wote wanaoishi mjini Goa...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
I met what i used to call my boyfriend or my love nikiwa chuo mwaka wa pili tulipendana sana kukutana naye i was like oooh..OMG this is the perfect man i was looking for kumbe mtu alikuwa sio...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Siku ya leo nimekuwa mpweke sana,nahangaika na kazi kwa muda mref sasa sijapata,nikichek mwaka unaisha, umri unazidi kwenda,hakuna la maana lolote nililofanya zaidi ya kuwa na afya njema tu...
1 Reactions
66 Replies
5K Views
Mara nyingi sisi wanaume tukishaoa, hatutaki tena kuwa saidia wake zetu kwa baadhi ya majumu ya ndani, hasa kufua nguo, kuonsha vyombo au kutandika kitanda kama sio kupika. Kwangu mimi naamini...
1 Reactions
26 Replies
6K Views
Habari zenu wana jf! Mimi ni mwanaume rijali na nina miaka 26: ninatafuta rafiki wa kike mwenye umri wa kuanzia miaka 20-35! Awe mwenye uwezo wa kuchat love-sms kwa muda wowote unaotakiwa, pia...
0 Reactions
15 Replies
9K Views
nina umri wa 25yrs ila natafuta mpenzi wa kike umri kuanzia 30 na kuendelea coz hawa huwa na mapenzi ya dhati siyo visister duu vyetu am tired of them. Aliye tayari anicheki...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Utafiti umeonesha kuwa asilimia kubwa ya wanawake hawanawi mikono mara wakati wa kuandaa chakula jikoni! utafiti unaonesha kuwa mwanamke anaweza akatoka maliwato na akaingia 1 kwa 1 jikoni na...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
mara kadhaa nimekuwa niki save namba ya mke wangu kwenye simu yangu kwa kuandika Idara ya Habari MAELEZO au SHIHATA kutokana na tabia ya kuuliza uliza maswali mengi kama muandishi wa habari, '''...
2 Reactions
128 Replies
20K Views
Mademu wa Mjini wanaishi kwa Mbinu sana.Wanaishi kwa ile Methali ya Wahenga wa Zamani,Mkono mtupu Haulambwi.. We ukikazana na I love You I love You Nyingiiiii mwenzio walaaa hazimshtui.. Wiki ya...
19 Reactions
58 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…