Kama ni kweli....! Daa jkt imeniboa kwa hili...!

yamoyoni mwangu

Senior Member
Joined
Oct 25, 2013
Posts
106
Reaction score
31
Kwanza wadau niwape heko kwa kuziendeleza harakati za kumkoboa mtu mweusi ...! ilikuwa jana kipindi nasubiri pindi la lecture ya history hapa chuoni..., kuna mdada mmoja akawa ananipa story za JKT bulombola( sorry kama nitakuwa nimekosea jina) akawa ameongea mengi juu ya uzuri na ubaya wa kambi ile.., kuna story moja ya mwana dada mmoja aliye bakwa na maafande wa JKT kwa nyakati tatu tofauti, kwa siku ya kwanza likuwa majira ya saa 8 na madakika, maafande waliokuwa zamu walifika na kumchukua yule kadadaa, na kumpeleka kusiko julikana...! baada ya masaa mawili hiv yaan saa kumi na moja kasoro wakamurudisha akiwa hoi bin taaban, wenzakr=e walipo jaribu kuhoji juuya jambo lile lakini kama mjuavyo jeshini hukuna kuhoji ni kutii amri tuu.. siku liyofuata wakati ulel ule maasikari wengine watatu wakaja na kumchukua tena yule kadadaa, the same apply kwa siku iliyofuata..! swali linakuja wale askari walikuwa wanampeleka wapi yule kadadaa? BASI BWANA siku ya kufunga mafunzo, yule mwanadada alilia sana akalaumu kuijua jkt maishani mwake, akiwa njiani kurudi kwao UKEREWE-MWANZA, anabahatika kumsimulia rafiki yake ( huyu aliyenipa story hii) unyama aliotendewa ikwemo kulazuimishwa kufanya mapenzi pasip[o hiyari yake...! wakati nataka kumuhoji kadadaa iwapo wale maafande waluitumia kondomu, muda wa lecture ukawa umefika, after lecture sikumuona tena, sasa mm najiuliza kama hakutumia kondom anauhakika hana maambukizi ya HIV/AIDS,
kama bahati mbaya ameathirika, huko aliko sijui ni chuo gan endapo akiamua kuteketeza kizazi hiki itakuwaje...
 
Kuna mwandishi wa habari anaitwa Che mponda mpaka Leo anasimulia jinsi alivyonusurika kubakwa na hao maafande
 
Hii serikali yetu sijui inafikiria nini inapopitisha policy kama hizi,

NaichukiA serikali hii kwA kweli
 
Hao maafande wangese watafichuliwa na watoto wa dot com hawatachelewa kuwarekodi. wasifikirie ni kile kizazi cha 70s na 80s
 
zipo simulizi nyingi juu ya hizi kambi za JKT,lakini sio huko tu bali ni kambi nyingi za mafunzo ya kijeshi(usiombe kusimuliwa na awaakina dada wananyanyaswa na kudhurumiwa kwasababu ya jinsia zao)
 
Kwanza wadau niwape heko kwa kuziendeleza harakati za kumkoboa mtu mweusi ...! ilikuwa jana kipindi nasubiri pindi la lecture ya history hapa chuoni..., kuna mdada mmoja akawa ananipa story za JKT bulombola( sorry kama nitakuwa nimekosea jina) akawa ameongea mengi juu ya uzuri na ubaya wa kambi ile.., kuna story moja ya mwana dada mmoja aliye bakwa na maafande wa JKT kwa nyakati tatu tofauti, kwa siku ya kwanza likuwa majira ya saa 8 na madakika, maafande waliokuwa zamu walifika na kumchukua yule kadadaa, na kumpeleka kusiko julikana...! baada ya masaa mawili hiv yaan saa kumi na moja kasoro wakamurudisha akiwa hoi bin taaban, wenzakr=e walipo jaribu kuhoji juuya jambo lile lakini kama mjuavyo jeshini hukuna kuhoji ni kutii amri tuu.. siku liyofuata wakati ulel ule maasikari wengine watatu wakaja na kumchukua tena yule kadadaa, the same apply kwa siku iliyofuata..! swali linakuja wale askari walikuwa wanampeleka wapi yule kadadaa? BASI BWANA siku ya kufunga mafunzo, yule mwanadada alilia sana akalaumu kuijua jkt maishani mwake, akiwa njiani kurudi kwao UKEREWE-MWANZA, anabahatika kumsimulia rafiki yake ( huyu aliyenipa story hii) unyama aliotendewa ikwemo kulazuimishwa kufanya mapenzi pasip[o hiyari yake...! wakati nataka kumuhoji kadadaa iwapo wale maafande waluitumia kondomu, muda wa lecture ukawa umefika, after lecture sikumuona tena, sasa mm najiuliza kama hakutumia kondom anauhakika hana maambukizi ya HIV/AIDS,
kama bahati mbaya ameathirika, huko aliko sijui ni chuo gan endapo akiamua kuteketeza kizazi hiki itakuwaje...

Hii story ni ya kutunga kuliko uhalisia mm nilipita JKT ile ya ukweli operesheni Vyama Vingi ambayo ndo ilikuwa ya mwisho kutumikia kpndi cha mwaka 1 baadae zikafuata 2 za miezi sita sita ndo zikakoma zikaja izi za sasa.Kiukweli hata enzi zile jambo kama hilo lisingewezekana bila makubaliano labda wakuteke.Tofauti na huyu eti walimchukua wakapiga kazi ,wakamrudisha wakamchukua tena duh,usanii mwinngine bwana.Nakuhakikishia ingekuwa kweli maaskari hao wangeshapigwa court Marshal,kifungo cha kijeshi miezi 3 baada ya hapo unakuja ku-face kesi ya uraiani.Kuhusu eti kama kaambukizwa ngwasuma naye akiamua kuambukiza ,hilo liko juu ya wawili anayeliwa na anayekula kama wewe ukienda kichwa kichwa badala ya kutumia kinga zilizoshauriwa hayo ni yako.Kubwa zaidi ...AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZA KWAKO.
 
Hii story si ya kweli na kama kweli basi huyo dada aliamua kuwapa kwa hiari yake full stop. Jeshi sio watu wanavolisimulia mitaani. Sema tu wanawake wengi tuna asili ya kuwalegezea misimamo watu waliotuzidi cheo ila ukiamua kubana huwapi na hawana cha kukufanya. Hayo yanawakuta wale wavivu wanaopenda unafuu katika kazi. Kwann asiwareport tena wangefukuzwa kazi aache uongo. Na kwann yeye sio wengine?
 
Mamatha temea mate chini una mtoto wa kike shosti
 
Siyo rahisi namna hiyo, kwa waliopitia jkt tunafahamu jinsi wanawake wanavyopenda kujilegeza ili wapate unafuu. rollcall za jkt tunazijua kwamba hazina muda maalumu kitendo cha kumuondoa mtu kwenye kikundi bila kujulikana amekwenda wapi inaweza kucost kazi ya mtu aache uongo huyo.
 
Kuna binti aliwahi bakwa mpaka kufa mjadara ulikuwa humu humu.
 
Haya mambo yapo msikatae mi nilikuwepo kambi mojawapo kati ya kambi za kigoma nilikuwa nikishuhudia jinsi wadada walivyokuwa wakichukuliwa kwa nguvu na kwenda kufanya ngono,
 
Mamatha temea mate chini una mtoto wa kike shosti

Wala hakuna haja ya kutema mate..mimi nimepita hayo majeshi mwanamke habakwi...anakubali mwenyewe na kama akitishiwa anao uwezo wa kuripoti na kuchukuliwa hatua huyo aliyemtishia. Siku tatu mfululizo??? Sijui uyo binti alikuwa mshamba kiasi gan ila iyo hadithi siikubali kivile.

Mtazamo wangu ni hadithi ya huyo aliyekusimulia akitafuta scapegoat ya kwann alifanya aliyofanya...
 
Haya mambo yapo msikatae mi nilikuwepo kambi mojawapo kati ya kambi za kigoma nilikuwa nikishuhudia jinsi wadada walivyokuwa wakichukuliwa kwa nguvu na kwenda kufanya ngono,

Mara tatu mfululizo? Mi sijashawishika bado...
 
Kuna binti aliwahi bakwa mpaka kufa mjadara ulikuwa humu humu.
Zingine huwa stories tu za kutishana.
Story hiyo hapo juu yakutunga tu, nukta.
Kuna wanawake wengi tu walikuwa wanamaliza mwaka mzima jeshini wakiwa na bikra zao.
Asilimia kubwa ya waliotembea na maafande ama ilikuwa kwa hiari au kwa kujilegeza.
 
Kwanza wadau niwape heko kwa kuziendeleza harakati za kumkoboa mtu mweusi ...! ilikuwa jana kipindi nasubiri pindi la lecture ya history hapa chuoni..., kuna mdada mmoja akawa ananipa story za JKT bulombola( sorry kama nitakuwa nimekosea jina) akawa ameongea mengi juu ya uzuri na ubaya wa kambi ile.., kuna story moja ya mwana dada mmoja aliye bakwa na maafande wa JKT kwa nyakati tatu tofauti, kwa siku ya kwanza likuwa majira ya saa 8 na madakika, maafande waliokuwa zamu walifika na kumchukua yule kadadaa, na kumpeleka kusiko julikana...! baada ya masaa mawili hiv yaan saa kumi na moja kasoro wakamurudisha akiwa hoi bin taaban, wenzakr=e walipo jaribu kuhoji juuya jambo lile lakini kama mjuavyo jeshini hukuna kuhoji ni kutii amri tuu.. siku liyofuata wakati ulel ule maasikari wengine watatu wakaja na kumchukua tena yule kadadaa, the same apply kwa siku iliyofuata..! swali linakuja wale askari walikuwa wanampeleka wapi yule kadadaa? BASI BWANA siku ya kufunga mafunzo, yule mwanadada alilia sana akalaumu kuijua jkt maishani mwake, akiwa njiani kurudi kwao UKEREWE-MWANZA, anabahatika kumsimulia rafiki yake ( huyu aliyenipa story hii) unyama aliotendewa ikwemo kulazuimishwa kufanya mapenzi pasip[o hiyari yake...! wakati nataka kumuhoji kadadaa iwapo wale maafande waluitumia kondomu, muda wa lecture ukawa umefika, after lecture sikumuona tena, sasa mm najiuliza kama hakutumia kondom anauhakika hana maambukizi ya HIV/AIDS,
kama bahati mbaya ameathirika, huko aliko sijui ni chuo gan endapo akiamua kuteketeza kizazi hiki itakuwaje...

huu ni uongo mkubwa na upotoshaji, suala kama hilo kamwe lisingeweza kutokea halafu perpetrators wasichukuliwe hatua.ubakaji jeshini utaanzia wapi, hivi unajua what will happen thereafter??? ni unthinkable kufkiria jeshini wamejaa barbarians, majitu yasiyo na huruma.yaani askari wengine washuhudie binti anapelekwa kubakwa wasitoe taarifa?? na huyo binti hakulalamika?? ushawahi kuskia military intelligence?? unajua kwamba wapo kila kikosi?? unajua moja ya kazi zao ni kufuatilia code and conduct za askari na maofisa?? mtu abakwe kikosini wasijue?? stop fabricating issues that do not exist.
 
Zingine huwa stories tu za kutishana.
Story hiyo hapo juu yakutunga tu, nukta.
Kuna wanawake wengi tu walikuwa wanamaliza mwaka mzima jeshini wakiwa na bikra zao.
Asilimia kubwa ya waliotembea na maafande ama ilikuwa kwa hiari au kwa kujilegeza.
you are right..., binti akitombwa ameamua mwenyewe kutombwa.binti akiripoti tu kwamba flani anamtaka kimapenzi kwa nguvu nakuhakikishia huyo askari atapata shida kubwa kutoka kwa wakuu wake
 
hizi ni story za vijiweni tu jeshini kuna wazazi na kuna mifumo mizuri sana ya kulea hawa mabinti tatizo kama alishawishiwa na kushawishika alafu hawa mabinti mbona wanalalamika jkt tu huku vyuoni mbona wanavuliwa sana chupi afu wanatengenezewa gpa na madegree feki kimya hakuna hata moja anaekuja kulalamika hapa jukwaani jamani tuwaache sasa wanajeshi wetu wafanye kazi
 
Mamatha temea mate chini una mtoto wa kike shosti

Sista mi mwenyewe ni mwanamke na najua nachosema. Mambo ya mapenzi huwa kwa makubaliano mtu anayebaka jeshin labda ni yule aliechoka kufanya kazi jeshin maana anajua kitachompata. Achana na story za chini ya miti hazina ukweli. Ingekuwa ni hivyo wengi tungeharibikiwa kimaisha.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom